Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,186
- 3,308
Naona taarifa ya habari ITV hapa, kuna mtu kashinda premier bet milioni 92 kwa dau la mia mbili.
Wamemuonesha kwenye taarifa ya habari ya leo jumatatu, ya ITV.
Good News πNaona taarifa ya habari ITV hapa, kuna mtu kashinda premier bet milioni 92 kwa dau la mia mbili.
Wamemuonesha kwenye taarifa ya habari ya leo jumatatu, ya ITV.
siyo kweli, labda ya kwako au nje ya hapa. ya humu kila siku lazima itiki angalau code moja, iwe single match, odds chache au treni. kimbembe kuzigundua codes za ushindi za humu. kimbembe chake ni sawa na cha kuigundua mechi itakayochana katika list ya mechi nyingi.LEO MIKEKA YOTE CHALI
Wanamchonganisha na ndugu na marafiki ,usili ni muhimuNaona taarifa ya habari ITV hapa, kuna mtu kashinda premier bet milioni 92 kwa dau la mia mbili.
Wamemuonesha kwenye taarifa ya habari ya leo jumatatu, ya ITV.
MmhKindege kilaaniwe milele π₯²
Hii drw mpwaaGame ya Al ahly
Kipindi cha kwanza weka over 0.5 odds 1.53 lipuka chochote ulichonacho.
Sasa wewe jichanganye na mentality ooh hii nusu fainali watakaziana mechi haina magoli haha hutoamin.
Au ukiwa na roho ngumu weka GG yes.
Girona GG weka No.
Ahsante DJ.
Nalalamika ila siachi kukicheza maana nikiwa na shida na pesa ndogo lazima niende kukirusha
Correction niliweka shilling mia Moja tu ya ki Tanzania (Tshs. 100) each...simu iliongeza hiyo K hapo kwa bahati mbaya samahani kiongozi kwa kukukwaza...najua umekuumiza sana samahani sana kiongozi πDogo sijui anatuchukuliaje eti ameweka 100k kila mkeka
Mambo ya kiwaki sana hayo! Kuchoreshana!.... Kuna mitaa ukijulikana una fedha tu, tayari ni risk!....Naona taarifa ya habari ITV hapa, kuna mtu kashinda premier bet milioni 92 kwa dau la mia mbili.
Wamemuonesha kwenye taarifa ya habari ya leo jumatatu, ya ITV.
Naona yanasubiriwa mahanjam!... Ya Porto na shogaake! Sporting!.... Taona moto!!!Hivi kumbe ITV bado ipo
Mbuzi hao walikaza vnzur mwsho wanapigwa kindesiJamani game ya alhaly inaonyeshwa channel gan
Msaada wadau,,,, akumbuka kuna mwamba kama aliwahi itumiaWadau msaada kwa aliyewahi kutumia hii bonus ya 1Xbet kama pesa
ukishaset mkeka wako fanya kama unataka kuulipia, itakuja ikiwa katika bet. Achana nayo, pembeni ya meno bet kuna neno limeandikwa promo bofya hapo lipia mkeka wako.Wadau msaada kwa aliyewahi kutumia hii bonus ya 1Xbet kama pesa