JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Huwa kunakuwa na masharti yeyote au hata mechi ikiwa live unaweza tumiaukishaset mkeka wako fanya kama unataka kuulipia, itakuja ikiwa katika bet. Achana nayo, pembeni ya meno bet kuna neno limeandikwa promo bofya hapo lipia mkeka wako.
mechi 3+Huwa kunakuwa na masharti yeyote au hata mechi ikiwa live unaweza tumia
Oyaa upo block 4 na lecture pascal mtaalam wa probability yupo? Msalimie na Prof msele angalia usije pata carry hapo cive sio poa.Eehh Jana Man utd tukaruka nae kama hivyo na ubovu wake tena akiwa nyumbani kwa livakuku sikuogopa odds ila maswali yalikuwa leo ili watu waliwe ni man utd ashinde ushind mwembamba wa moja bila au watoke sare ya bila bila...kwanini nilikuja na haya matokeo baada ya kuona 2+ ina odds 1.09 na 3+ ina 1.4 huko na odds ya GG ilikuwa 1.6 ingawaje ilikuwa vary nini maana yake nini walituaminisha kwamba hii game ina magoli sana ili tujae kwaenye mfumo....nikaamua kula 2x ya man utd.
Ukiangalia hapo chini mkeka mwingine wa basketbal NBA huyo Hauston roket kushinda foul alikuwa na odds 1.58 wakati mwenzie ana odds ya 2.8 dabo chance ikawa 2.5 kwa 1.32 lakini kumbuka Bucks kwenye NBA ni Jeshi(wapo imara)nikacheka hahaha nikasema kanjii huu mtego siingii.
Wenye akili timamu na wenye akili za kureason ndio watakao nielewa.
So wadau you need to take time uzisome odds ingia kila option chungulia....utapata kitu.
Location Udom ndaki ya CIVE.....ngoja nisogeze slide kesho test.View attachment 2846405View attachment 2846407
Nakataa.Mikeka y humu Fake sn
aisee wanazinga sana bora ningempa girona dc kuliko kumbeba atalantaAtalanta jikaze basii, wenzako wote waliocheza na team za mkiani Leo wamefungwa au sare
Haziko invald badilisha nchi weka nigeriaInvalid mkuu
Day 1 β οΈPlease receive this special Christmas Package familia, Mungu ni wetu sote βοΈView attachment 2845506
I wish mkeka utoboe Tukutane Tabata tarehe 25 Dec tugongeshe glass π₯
Nilishakukataza ubishi tuKindege kilaaniwe milele π₯²
Check ur WhatsApp hommiemechi 3+
odd 1.4+ kwa kila chaguo
potential wining iwe mara tano ya stake. kiufupi odds 5+
Sema bonus yenyewe ya kingese sana coz inahitaji ucheze round kadhaa nishasahau idadi. Nishawahi shinda round 1., still ikanihitaji kuendelea cheza ili mkwnja uhamie kwa main account. Sina hamu nayo
Ana kichwa kigumu! Huyo jamaa!... Kama dumu la gongo!!!Nilishakukataza ubishi tu
Siku yako imeisha vizuriiatalanta ameshafanya comeback sasa mambo safiii namsubiri lisbon na porto watoe 2+ nifunge siku !