Tuma email ulivyo elekezwaNimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.
Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu kuwasiliana na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)
ANGALIZO
Mnaotumia 1xbet, kitendo tu cha kudeposit ni kamari tosha. Kwa hiyo ikifanikiwa kufika kwenye akaunti ina maana umewin jaribio la kwanza, bado la pili.
Huyu mtu kati DUKA DIRECT ana shida, hata simu kupokea ni shida.
Rudi tu sportbety au bet powerTuma email ulivyo elekezwa
vizur saanaaa mkuu!Siku yako imeisha vizurii
The one and only Queen Hilde 😊 thanks so much for sharing
ukastake just 1 tsh?[emoji16]The one and only Queen Hilde [emoji4] thanks so much for sharing
I bet only 1 shilling each [emoji38]
Mkuu bora wewe ata wanakupongeza, sisi wengine bado wanatufundisha kwanza what is cashout!.. Ni uchungu 😣View attachment 2846663
sportybet bhana, wanavyokupongeza hivi utafikiri wewe ndiyo umewin peke yako, kumbe mmewin wengi tu. hata ukistake sh. 10 watakwambia "you won more than 99% of all users".
pole sana mkuu Shin Lim kuna baadhi ya mawakala wa 1xbet ni matapel kwel ila mfano mimi namtumia ROMANO huyu ni wakal wa dunia taarifa zake zipo open mno mawasiliano yake ni 0716422816Nimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.
Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu kuwasiliana na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)
ANGALIZO
Mnaotumia 1xbet, kitendo tu cha kudeposit ni kamari tosha. Kwa hiyo ikifanikiwa kufika kwenye akaunti ina maana umewin jaribio la kwanza, bado la pili.
Huyu mtu kati DUKA DIRECT ana shida, hata simu kupokea ni shida.
Huu mkuke ni hela ya chai asubuhi supu
Sporting cp kagawa pesa mapema sanaNaona yanasubiriwa mahanjam!... Ya Porto na shogaake! Sporting!.... Taona moto!!!
Dadek!... Siku witiri sana hii! Kwangu... Bora ingekuwa tasa! ... Ningeipeleka kwa mwamposa ifanyiwe maombi!....ibadilike iwe shufwa!!!
Nimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.
Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu na na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)
ANGALIZO
Mnaotumia 1xbet, kitendo tu cha kudeposit ni kamari tosha. Kwa hiyo ikifanikiwa kufika kwenye akaunti ina maana umewin jaribio la kwanza, bado la pili.
Huyu mtu kati DUKA DIRECT ana shida, hata simu kupokea ni shida.
Mkuu naomba uwe unanitag [emoji459] hizoniliwambia good 9t but wacha niwapee hizi last 2, sportbet codes
73595F - 8 odds
883E05 - 9 Odds
stake well.
haya mlale unono[emoji4]
Nadhani inatokea mara chache sana. Kuna memba mwingine alikutana na changamoto hii last week, yeye ilikuwa laki.Tokea nianze kudeposit na ku-withdraw kwa mpesa, ni wiki ya tatu sasa na sijakutana na tatizo.