Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hamna tatizo kiongozi huyu jamaa anapigika sana tatizo mipango tuu ndo huwa hatuiseti ila inawezekana sana
 
kweli betting ngumu sasa midtyland anapigwa yuko home na mpinzan ana red khaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…