Christopher krugger
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 216
- 395
Duka direct ukiwatafuta wanakuambia watafute wallettec hawa wao kiwapata ni kwa email tu kazi ipo aseeNimepokea kaposho pahala nikasema nideposit 1xbet.
Pesa imekatwa MPESA, status ya 1xbet inaonesha nimedeposit lakini salio halijaongezeka.
Nawasiliana na 1xbet wanasema niwatumie email, naona usenge.
Baada ya muda msg ya 1xbet inaonesha muamala umekuwa cancelled na operator, but huku MPESA patupu. Najaribu kuwasiliana na MPESA wanasema muamala ulikamilika kami (wananipa na ref no)
ANGALIZO
Mnaotumia 1xbet, kitendo tu cha kudeposit ni kamari tosha. Kwa hiyo ikifanikiwa kufika kwenye akaunti ina maana umewin jaribio la kwanza, bado la pili.
Huyu mtu kati DUKA DIRECT ana shida, hata simu kupokea ni shida.
Pole baby, kwangu kuna umeme njoo ujiachiemmorning wakuu, haya haraka haraka leo, power bank nlisahau kucharge night na hakuna umeme , cm isizime
Na wewe yamekukuta nini! Bora uliwe na timu maana tushazoe kuliko na merchant, ni uhuni tu.Duka direct ukiwatafuta wanakuambia watafute wallettec hawa wao kiwapata ni kwa email tu kazi ipo asee
hahah asante wacha nivae haraka nikuje, but tusiwe pekee, awepo na shem[emoji4], si pale pale? haya im comingPole baby, kwangu kuna umeme njoo ujiachie
Wewe ziende kwa mfatano, ziende kwa zigzag yani ziende ende tu bila utaratibu imladi uangukie kwenye bonus mkuu ndo cha muhimu, muhimu ufikishe 10 na kuendelea wewe unageuka mpunga😆Asante Sana,je hizo mechi zinatakiwa zishinde kwa mfuatano au hata kama zisipotiki kwa mfuatano wa kuanzia 1-10,11,12 au 13 unalipwa?
Kuna shida mahali nimedeposit mara mbili wanasema nitume emailNa wewe yamekukuta nini! Bora uliwe na timu maana tushazoe kuliko na merchant, ni uhuni tu.
Mkuu sio lazima zifuatane ingekuwa ni hivyo mbona ingekuwa ngumu kuliko ata kufanya analysisHuo ndio ubaya wa jackpot za baadhi ya company , mm kiukwel upande wa jackpot napenda ya sportpesa kwasb hawana hizo taratb za mpangilio , kma umefikisha idadi ya bonus unapewa hata kma hazijashinda Kwa mfuatano mm nlishawah pewa bonus sportpesa na mech Wala hazikufuatana.
Usivae utachelewa njoo tu ivoivo 😍hahah asante wacha nivae haraka nikuje, but tusiwe pekee, awepo na shem[emoji4], si pale pale? haya im coming..
Hapana ni kwel betpowee ni lazma ushindi wa match zako ufuatano nishawah kusikia hii kitu sio Kwa huyu tu, yaan match ya kwanza ikitiki , inayofuata ikikosa bac ushachana inabidi kma kuchana ichane ya mwisho na sio katikatiMkuu sio lazima zifuatane ingekuwa ni hivyo mbona ingekuwa ngumu kuliko ata kufanya analysis
Da; huko dolo ni pagumu bora kukimbia asee,Hapana ni kwel betpowee ni lazma ushindi wa match zako ufuatano nishawah kusikia hii kitu sio Kwa huyu tu, yaan match ya kwanza ikitiki , inayofuata ikikosa bac ushachana inabidi kma kuchana ichane ya mwisho na sio katikati
Serious mm BP nishatemana nao naona wazinguaji tu na vile Kuna muda walidelay kuingizia watu pesa zao za ushindi nkatemana nao yaan mm kuhs jackport na deal na sportpesa kwanza match zao ni kama zinatabirika fulan hv lakin pia pesa ya sportpesa ni ndefu kwenye jackpot jackport ndogo ni kuanzia Milion 450 huko.Da; huko dolo ni pagumu bora kukimbia asee,
wanaukoo wananisifia [emoji2956][emoji23][emoji23]