Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba mawasiliano ya wallettec
 
Yaani wabongo kazi ipo huko unafata ninI cha ziada
Hakuna kodi. Nikishinda 500,000 napewa 500,000.

Hawana option za kumbana punter. Kwenu betpawa unakuta mechi imeanzia na over 2.5 wakati hisia zinakutuma kabisa goli 3 mtihani hazifiki, unajilipua kwa shingo upande hivyo hivyo. Mechi hiyo hiyo unakuta 1xbet wameanzia na over 0.5, na mwisho wa siku unakuta zimepatikana goli 2.

Kwa ufupi 1xbet sihami, tumeshapita nayo katika wakati mgumu wa kudeposit kwa bank na bitcoins sembuse leo!
 
NAPOLI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ duhh

Italy ifahamike kwamba Duniani ndio inaongoza kwa Betting,na kupanga Matokeo

Mtakumbuka club 3 za league kuu ziliwahi kuhusihwa na zikaonja adhabu

Tuweni wapole ILA hii kiboko
Watu tumeweka hela wao wanaweka kikosi cha watoto mafala fala tu yan hawajali kabisa kama makamaria tunaumia wanacheza na hela zetu! Yan napoli hata goli moja kutoa limenshinda! Nimeamini timu zinabet na mpira sasa umeingiliwa tutapigwa sana! Hapo napoli kashachukua mpunga kaona hata asipokomaa na kikombe cha Copa Italia ila mpunga aliopewa maybe ni wa faida kuzidi hata kikombe chenyewe
 
Athletic Madrid win, Napoli win, Dortmund win 😭😭! "Mawazo ya kujishauri sasa" ("Huyu napoli naona kama haaminiki ngoja tu yeye nimpe win or draw ")πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ baada ya mechi kuisha sasa πŸ˜‚ napoli 0-4 Dortmund 1-1 Atletico madrid 3-3 Mamaeeee Kanji ulaaniweee πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…