Asante meridian boom
wakuu, ukishadeposit meridian na kupokea text yao ya mpesa..kitu gani kinafuata? au balanc itaongezeka yenyewe
hzo ni match zinazochezwa live yaan mdaa huo ..footbal hamna kitu but basket ni sheeeedahHivi hii in play ndio inachezwa vp mkuu.
baharia vipi leo mkeka wako umekaaje
si umeuona lakini c.e.o? niliuweka mapema kidogo mpaka dk 90 ziishe ndio ntajua otherwise bado sana..
hzo ni match zinazochezwa live yaan mdaa huo ..footbal hamna kitu but basket ni sheeeedah
Ningejua nisinge iwekea hii timu ya Zambia maana imeniangusha sana yaani naanza zero tena daaaah ngoja kesho nikasake tena
Yani ningekua ni mm ndo ananiambia habari za ivyo, sijuwi kwakweli, nadhani ningekua niko napiga story na kanumba this time, those are normal business loses, they must take it, legue zenye utata wasiziweke sasa, akyamungu ningemvuta pua kama foleni ya kimara ubungo
Andybird furaha yako huwa haidumu kabisa