Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kameruni kesha piga huko, nasubiria huyu Zambia na Algeria
 
Biohazard we noma sana aisee na pia unajiamini sana mie jana nimeliwa laki inaniuma sana
 
Last edited by a moderator:
Nina wasi wasi Zambia naAlgeria wanawezia haribu siku yetu. Maana sioni dalili
 
wakuu, ukishadeposit meridian na kupokea text yao ya mpesa..kitu gani kinafuata? au balanc itaongezeka yenyewe
 
Asante kwa Algeria ila ongeza jingine.
Huyu Zambia yuko kwao ila naona kama anataka uza game hii leo
 
wakuu, ukishadeposit meridian na kupokea text yao ya mpesa..kitu gani kinafuata? au balanc itaongezeka yenyewe

Ndio itajiongeza yenyewe ila sio papo hapo ni baada ya nusu saaa hivi
 
Hadi sasa mkeka unaopumua ni ule wa Camroon, Algeria.
 
Daaah Zambiaaaaaa maliza basi au unataka nisusie timu za Afrika eeeeh
 
Ningejua nisinge iwekea hii timu ya Zambia maana imeniangusha sana yaani naanza zero tena daaaah ngoja kesho nikasake tena
 
Yani ningekua ni mm ndo ananiambia habari za ivyo, sijuwi kwakweli, nadhani ningekua niko napiga story na kanumba this time, those are normal business loses, they must take it, legue zenye utata wasiziweke sasa, akyamungu ningemvuta pua kama foleni ya kimara ubungo

Kupata wanapata sana,sema they hawaridhiki tu.
 
Back
Top Bottom