ATletico leo anamuua real. Tunaishi hapo leo
Inaelekea ulikuwa na uhakika mkuu, sema basi yakatokea yaliyotokeaAPo kwa madrid kabugi. Madrid anakufa leo. Atletico wins full time
Noma. Uzuri niliibadili na kucheza atletico wins or draw.nkaja kuliwa kichwa game la liver atoe handicap kashinda nomoInaelekea ulikuwa na uhakika mkuu, sema basi yakatokea yaliyotokea
Hatari Jana haikuwa siku nzuriNoma. Uzuri niliibadili na kucheza atletico wins or draw.nkaja kuliwa kichwa game la liver atoe handicap kashinda nomo
Huwa anajitahidi sanaUmetisha mzee uko poa huu mkeka
Mwanetu mbona inasema all selections have become unavailable
Nlianza nao jana, mechi zote za jana tano zikaenda freshhUmetisha mzee uko poa huu mkeka
Alisahau ya kwamba hiyo ilikuwa Turin Derby!? Hukumwambia!? ...Ya kwamba mechi za derby zote huwa hazibetiwi! Kwenye code yoyote ya kimkakati!Acha kubeti kama huna bahati utajuta
nina rafikia yangu alikua akipenda kuona mm na win games lkn naweka pesa ndogo basikwakua yeye alikua akikosa sana weekend moja akasema mwanangu leo nasafisha nyota
Naweka games mbili tuu
kipindi hiko juve anawaka sana italy na chelsea alikua anaelekea kutangaza ubingwa
basi hizo team zote ziko home juve yuko turin dhidi ya Torino na chelsea yuko home dhidi ya sunderland
Note : chelsea akisha alikua anatangaza ubingwa
bhasi jama kwakua hajawahi ona stake yake ime andika win akawapa hao wote
juve 1X
chelsea 1X
odds ilikua ndogo sana kama 1.30 ivi
akaweka 2000 ikaja 2200 lengo lake ni stake itoe win sio hela
matokeo chelsea 1 sundland 2
juve 0 torino 2
mkeka umechanika vibaya
Mi sikushauri ubeti bora uwekez kungine
Wanasema huwez acha bettin lkn mm niliacha mwaka 2018 nusu nife kisa kuchaniwa mkeka nikasema sirudi tena japo hela zao tamu lkn mungu mkubwa nimeacha.
Matokeo 10th/Jan/2024
29th December: Wins 6 | Loss 0
30th December: Wins 6 | Loss 0
31st December: Wins 2 | Loss 4
1st January: No Bets
2nd January: No Bets
3rd January: No Bets
4th January:No Bets
5th January:No Bets
6th January: No Bets
7th January: Wins 5| Return 1 | Loss 1
8th January: Wins 3| Loss 1 Tsh. +7,650β¬οΈ
9th January: Wins 6| Loss 3 Tsh. 6,700β¬οΈ
10th January: Wins 5| Loss 3 Tsh. -600.25
Last win: over Tsh. -600.25 β¬οΈ
Current Balance: Tsh. +120,509.75β¬οΈ
1. Pacers winner/Kings winner(NBA PARLAY) β
2. Wembanyana(mchezaji) handicap over 21.5 points (NBA SPURS) β
3. Raptors over 237 (NBA)β
4. Miami over 157 (NCAAB)β
5. Tennessee ML (NCAAB)β
6. UConn -4 (NCAAB)β
7. Florida over 158 (NCAAB)β
-------------------------------------------------------------------
Tume loss kidogo jana, tunarudi na ushindi mkubwa mnono leo, fwata asali!
Hakuna code ya uhakika Duniani koteNimechoka kupoteza kila siku, Tafadhali nahitaji code ya uhakika ya leo.