Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hongera,shida kuna watoto wa juzi humu wana dharau wanadhani kila mtu humu ni amateur..au ni jobless kama wao..
 
safi sana....
 
Odds 2 Za Basketball Helabet. Zote za mchana huu

Booking Code: EXTXL

Jisajiri na stake hapa kupitia link hii👇

Jisajiri na stake hapa

Tumia Promocode: SASA
Na utapewa bonus ya asilimia 100 mara tu utakapoweka hela kwenye akaunti yako ya Helabet.
 
Hongera,shida kuna watoto wa juzi humu wana dharau wanadhani kila mtu humu ni amateur..au ni jobless kama wao..
inaonesha wazi we na mwenzie unaemsapot akili mmewaazima watu sio?? Kabisa upo serious mende unamuua kwa boom!! Bila shaka we na mwenzako mmenijua leo sio?? Achen kujifariji kijinga baba ulipo hapo we na mwenzio hamna kaz wala hela uongo uongo ngoja nikwambie kitu mwenye kaz na pesa hawez kujibu kama kasuku tena bora kasuku anapoint ushawah msikia churaa mton tena bora churaa anapoint ushawai msikia mbu usiku no mbu anapoint bro sijui nikufananishe na nn na dalili za mtu asie na kitu makasiliko oya ukijibu unaniogopa kaa kimya nakupa onyo ukinijibu tu utaniblock sanamu huwa halina hisia wala akili na mi ndio sanamu bro mi na mbuz, mkitupeleka kusoma mbuz anafaulu mi nafeli ooh hela huna kaz huna kaz kuunga juhudi za wapumbv wenzio
 
nimecheka sana
 
Jana nilijitoa kidogo ufaham nikazipa timu nne direct win, nikaweka 5000 ila nilitaka kuweka 50k roho ikawa inagoma goma... Nilikuwa na odds 2.8 naamka asbb nakuta nina 14k. Yaani nimezaa 9k nikajilaumu kwann sikuweka 50k yote.
Weka leo sasa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
safi sana....
safi yake nini kwahy umeona rahaaa mwenyewe kumbe hamnijui mmenijua leo ngoja nijitambulishe mimi ni yuleyule nabii wa mikeka aka mr pipa aka mtaalamu wa kuogelea kwenye kikombe naza umenipata broo kushindana na mm sawa na kushindana na kuku au mbuzi mi na mbuz ana akili mbuzi mwenzio niliumwa sana ukichaa na hata hapa na coment nipo jalalan kuna mikate ya azam wameitupa nanywea na smat gn kwahy hapa sina akili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…