Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shida ni tunakosa experience tu michezo ipo ming ila ss n football na basketball tu ndio maana
kila unachokiona kwenye betting kipo kwa ajili ya wewe uwe na nafasi ndogo ya kushinda halafu bookie nafasi kubwa ya kushinda. hiyo michezo mingine tofauti na football na basketball kuna mwenzio anasema tumfuate tule hela lakini naye daily anachezea vichapo, ni BahatiBillionaire.

sikukatishi tamaa, nazungumzia hali halisi. fungua group maalum kwa ajili discussion ya rollover tujiunge
 
Uko sahihi, bookie (House) always wins!

Lakini kuna tofauti kubwa kati ya soccer na american games kama NFL, NHL, NBA, UFC etc. Playing options ziko nyingi, ambazo zinakupa advantage ya edging and alternate. Hizi advantage ni ndogo na lazima uwe na ujuzi kuziona kwenye mechi. Pia lamuhimu ni bankroll(kiasi cha fedha kwenye account yako ya bookie) unabidi uwe unajua jinsi gani yaku minimize loss and gain winning.

Ni topic ndefu, ila kwaufupi betting ina faida kama unajua kubet successfully.

Ntafungua group la discussion lenye maswali na majibu soon. For now lets Cash Out! I bet for a living 💸🚀

Telegram BahatiBillionaire
 
Bets za Leo 12-01-2024

1. Canisius -10 (NCAAB)

2. Iowa/Nebraska over 166 (NCAAB)

3. Kings +2 (NBA)

4. Rockets/Pistons over 226.5 (NBA)

5. Bulls/Warriors under 227 (NBA)

6. Clippers/Grizzlies over 227 (NBA)

7. Jazz Winner (NBA)

————————————————————

Single bets, unit 1 kila bet.

Tuzidi kuchana mifuko ya kanji.

Tukutane kwenye dirisha la CASHIER! 🤝💰

Codes ziko 👉 BahatiBillionaire
 
IMG_5695.jpg

All the Best [emoji108]
 
Dear Friend, I am inviting you to install FARAS App and earn 3000 welcome bonus. Ride and Earn with FARAS.

Here is the link Onelink.to/dkx53v
Please use my referral code: 742092230
 
Uwezekano wa kumpiga kanjii kila siku kwa siku hata 10 ni mgumu sana hata uwe unatafuta odds ya 1.10 tu kwa siku! Nishajaribu kila loop hole kwa kanjii nikanyoosha mikono na nikaja kujua kuwa kumpiga kanji inahitaji bahati ya siku moja tu na na si vinginevyo! Hakikisha kwenye mkeka wako lisome dau la kuanzia milion 30 ili siku Bahat ikiwa kwako atleast ufute machungu! Ukienda nae kwa odds 2 mpaka 3 na stake kubwa zaidi ya 100k na kuendelea sawa utamla kuna siku ila mwisho wa siku yeye ndo ataibuka kidedea ukifunga hesabu kwa mwezi mzima! Mwisho: Naweka mkeka wa odd mbili mpaka tatu kutafuta elfu 50 mpaka laki ila pia nakuwa nimeweka mkeka wa kumpiga milion 30 na kuendelea kwa dau lisiloumiza la kwanzia 200 mpaka 1000 ili siku bahat ikiwa kwangu nifute machungu ya kuwa kwenye hii tasnia ya ubashiri kwa miaka Zaidi ya 10
 
Uko sahihi, bookie (House) always wins!

Lakini kuna tofauti kubwa kati ya soccer na american games kama NFL, NHL, NBA, UFC etc. Playing options ziko nyingi, ambazo zinakupa advantage ya edging and alternate. Hizi advantage ni ndogo na lazima uwe na ujuzi kuziona kwenye mechi. Pia lamuhimu ni bankroll(kiasi cha fedha kwenye account yako ya bookie) unabidi uwe unajua jinsi gani yaku minimize loss and gain winning.

Ni topic ndefu, ila kwaufupi betting ina faida kama unajua kubet successfully.

Ntafungua group la discussion lenye maswali na majibu soon. For now lets Cash Out! I bet for a living 💸🚀

Telegram BahatiBillionaire
Kaka umejiunga 2013 ila mpk Leo hata senior hujafka what..!? Naona uko member
 
Tahadhari maafisa:
Wikendi hii laliga usiziweke kwenye mkeka wowote wa kimkakati Sevilla na Real Sociadad, hao waafrika kusini wanaotengeneza na kuuza odds wamezipata odds hizo mechi mbili kinyume kabisa na ubashiri wa maafisa wengi.
Ikitokea hivyo inafaa kuziacha kabisa hizo mechi kwenye mikeka yote ya kimkakati.
 
Back
Top Bottom