BahatiBillionaire
Member
- Jan 25, 2013
- 73
- 98
Unaweka 8000 unapata 5000 inapoteza 3000 uhu uhu uhu uhu uhuru na umoja waliotaka hapo ni wajinga tu walikatwa mikono yote
Shida ni tunakosa experience tu michezo ipo ming ila ss n football na basketball tu ndio maana
kila unachokiona kwenye betting kipo kwa ajili ya wewe uwe na nafasi ndogo ya kushinda halafu bookie nafasi kubwa ya kushinda. hiyo michezo mingine tofauti na football na basketball kuna mwenzio anasema tumfuate tule hela lakini naye daily anachezea vichapo, ni BahatiBillionaire.Shida ni tunakosa experience tu michezo ipo ming ila ss n football na basketball tu ndio maana
jeshi hiloOya wakuu mwenyewe odds za uhakika uweka code basi naanza mm
Girona
Leverkusen
Let's go..
Power dynamos ameshachana huu mkeka😁7BAA118 betpawa leo ijumaa, option ya direct win. Weka shilingi 100 upate milioni 477.
Nataka weka elfu moja nione kama itakubali kuleta bilioni 4.77.
kila unachokiona kwenye betting kipo kwa ajili ya wewe uwe na nafasi ndogo ya kushinda halafu bookie nafasi kubwa ya kushinda. hiyo michezo mingine tofauti na football na basketball kuna mwenzio anasema tumfuate tule hela lakini naye daily anachezea vichapo, ni BahatiBillionaire.
sikukatishi tamaa, nazungumzia hali halisi. fungua group maalum kwa ajili discussion ya rollover tujiunge
Kaka umejiunga 2013 ila mpk Leo hata senior hujafka what..!? Naona uko memberUko sahihi, bookie (House) always wins!
Lakini kuna tofauti kubwa kati ya soccer na american games kama NFL, NHL, NBA, UFC etc. Playing options ziko nyingi, ambazo zinakupa advantage ya edging and alternate. Hizi advantage ni ndogo na lazima uwe na ujuzi kuziona kwenye mechi. Pia lamuhimu ni bankroll(kiasi cha fedha kwenye account yako ya bookie) unabidi uwe unajua jinsi gani yaku minimize loss and gain winning.
Ni topic ndefu, ila kwaufupi betting ina faida kama unajua kubet successfully.
Ntafungua group la discussion lenye maswali na majibu soon. For now lets Cash Out! I bet for a living 💸🚀
Telegram BahatiBillionaire
Mbona huu uzi una matapeli/mawakala wa matapeli wengi?Dear Friend, I am inviting you to install FARAS App and earn 3000 welcome bonus. Ride and Earn with FARAS.
Here is the link Onelink.to/dkx53v
Please use my referral code: 742092230
Odds zipo za bure kabisa, unataka odds ngapi?Nimekuja kuchukua odd za kesho