JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Mikeka ya pesa inatengenezwa usiku wa manane
Akili ikiwa imetulia.... Mnara ukiwa unasoma 5G!...Ukiwa umekumbatia, umekumbatiwa!... Ama umejikumbata!!! Dadek!
Wengi humu wazee wa kujikumbata!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikeka ya pesa inatengenezwa usiku wa manane
08F896A editedEB51F65
9C42079 editedView attachment 2870249
Akili ikiwa imetulia.... Mnara ukiwa unasoma 5G!...Ukiwa umekumbatia, umekumbatiwa!... Ama umejikumbata!!! Dadek!
Wengi humu wazee wa kujikumbata!
Ondoa games za stars pekee vs moroccoMwamba upo?? Natamani siku nikuone live.[emoji38][emoji38]
Karibia tena, sisi tulishakuwa sugu kitambo.Baada ya kujipa mapumziko ya siku mbili baada ya kanji kunichakaza vibaya, leo nimerudi na akili mpya mpaka pesa yangu irudi dadeki. Kanji mimi na wewe. 🤨🤨
Umeyakanyaga08F896A edited
310960CFD9865D betpawa, mechi zote za leo jumamosi. Option ya direct win.
Odds laki tatu na sitini elfu.
Kila la heri maafisa.
Umetisha, naona umeacha zenye odds < 1.25.310960C
Edited weka Figo
Umetisha sana, mkeka umesukwa vyema kabisa. Kila la heri afisa.CODE;979A03D
ODDS;1500+
COMPANY; BETPAWA
kipigo cha mbwa kokoLeo ndo ile siku yenyewe
Hii ni ngumu kumeza, ila pia hutoa. Kila la heri afisa.betpawa
Odds 10,842.34
Code 429300E
Ushaipata, ni muda tu. Anza kabisa ipangia matumizi.Asee 400k ileeeView attachment 2870366