2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Hii imenishawishi kuweka mzigo.hii code 979A03D betpower inaweza kutoa aisee
Ilitakiwa mmoja ashinde zaidi ya bilioni moja, ili tuwe na afisa bilionea pia.Duh
Huyo aliyekula 600m ni mwamba kwelikweli
Mara moja tu, zaidi naangukia kwenye elfu kumi na moja au elfu kumi na mbili pointToka uanze kucheza pawa 6
Umeshakula mara ngapi mkuu
Duh
Huyo aliyekula 600m ni mwamba kwelikweli
jaribu kuedit kidogo....kuna game 3 zinaweza kuzinguaHii imenishawishi kuweka mzigo.
Ni kumpa matokeo ambayo hayana ushind wa direct win inaweza pangiwa a kuwa fixed match hiyo ni kuwa makini nayoSiku girona ikilimwa hakika hiyo siku maafisa ubashiri toka pande mbalimbali za Dunia mtalia mpk mtoe airbag kwa mapua 😂😂😅
Alafu yanatokea zile Siku mkiweka mkeka ila usipoweka hayatokei unawezani ulaaniwa aisee 😅🙌Hatari sana, hayo matokeo ya kushangaa hutokea. Ila ni mara chache sana.
Hakuna aliyekula kiasi hicho..sema waliaminisha watu ili wakitoa bonus watu wasijue kuwa wanapigwa saanaDuh
Huyo aliyekula 600m ni mwamba kwelikweli
Hatari sana, ila maafisa ubashiri tushazoea hizo hali.Alafu yanatokea zile Siku mkiweka mkeka ila usipoweka hayatokei unawezani ulaaniwa aisee 😅🙌
Hii ngumu kumeza safi. Arsenal na Chelsea washaanza zingua, wanafungwa kirahisi.
Jilipue tu home team win.?????