Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

_20240113_130908.JPG
 
Siku girona ikilimwa hakika hiyo siku maafisa ubashiri toka pande mbalimbali za Dunia mtalia mpk mtoe airbag kwa mapua 😂😂😅
Ni kumpa matokeo ambayo hayana ushind wa direct win inaweza pangiwa a kuwa fixed match hiyo ni kuwa makini nayo
 
Back
Top Bottom