Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
hilo huwa ni jeshi hana tofauti sana na ipswichSafi. Ila kama hutaki jilipua sana mtoe huyo Oxford United, anaweza asipate goli dakika 90.
Yan ovyo kabisaaaHawa chelsi na fulam kuna gg kweli hapa, maana wote hawaoneshi njaa ya magoli kabisa
betPawa 299828E
HAHHHAHAH asante sana.This thread is your legacy....! Landmark!...Like a Zion mountain...!
Watoto waliozaliwa wakati huu uzi unauanzisha... 2013.....Mwakani na wao ...eti...wanaanza kusuka mikeka...! Halafu Waanze kutuvimbia humu!
Big up dude! Umetukusanya kwenye Kijiji cha ujamaa!... Kama enzi ya mwalimu.... Lakini humu sio ujamaa tena!.... Fish anakula fish!..(Life of the sea!)Only the fittest will survive!
hahahah karibu mwanza.Mwamba upo?? Natamani siku nikuone live.[emoji38][emoji38]
Chelsea leo alisahau kumpakia mkongo Fulham!!!.... Ananidondoshea kabati langu moja la gharama mnoo!!!Chelsea kama Hawawezi Kuongeza Goli Basi waruhusu wafungwe
Hili ombi lako baya sana..Chelsea kama Hawawezi Kuongeza Goli Basi waruhusu wafungwe
mkuu generate tena hii code isha expireKampuni sport pesa.
Odds: 134,678.99
Weka hata 100. Tukautafute utajiri pomoja. Usikubali hii fursa ikupite.
Angalizo: Hii ni ngumu kumeza inahitaji wenye roho ngumu tu.
Code: 4upVb3