Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

This thread is your legacy....! Landmark!...Like a Zion mountain...!

Watoto waliozaliwa wakati huu uzi unauanzisha... 2013.....Mwakani na wao ...eti...wanaanza kusuka mikeka...! Halafu Waanze kutuvimbia humu!

Big up dude! Umetukusanya kwenye Kijiji cha ujamaa!... Kama enzi ya mwalimu.... Lakini humu sio ujamaa tena!.... Fish anakula fish!..(Life of the sea!)Only the fittest will survive!
HAHHHAHAH asante sana.
 
Back
Top Bottom