UA MAN CITY
NIKOPALEEE NEW AMANI STADIUM
Nilimpa double chance naona bado ngumu tuKuna Jamaa kashauri kuhusu Napoli..kwakweli inaumiza saana..maana nilimpa direct win
Hata mimi mkuuKuna Jamaa kashauri kuhusu Napoli..kwakweli inaumiza saana..maana nilimpa direct win
NgojatuoneKama KDB yupo hakuna namna Newcastle atatoka
ππππ Kanjibhai anakunywa gahawa na huku kavaa Punjabi yake anasubiri kuvuta maokoto ya sikuπWaga tunachambua vzr kweli lakini mambo yanaenda tofauti kabisa na mipango. Nb "No more betting until further notice"πΆπΆπΆ
Dah! Betting ni biashara ya watu aise! Sisi tunabahatisha.Tahadhari maafisa:
Wikendi hii laliga usiziweke kwenye mkeka wowote wa kimkakati Sevilla na Real Sociadad, hao waafrika kusini wanaotengeneza na kuuza odds wamezipata odds hizo mechi mbili kinyume kabisa na ubashiri wa maafisa wengi.
Ikitokea hivyo inafaa kuziacha kabisa hizo mechi kwenye mikeka yote ya kimkakati.
π‘π‘π‘. Mkuu we acha2 december na november imekuwa miezi mibaya sana kwangu, labda nisubiri februaryππππ Kanjibhai anakunywa gahawa na huku kavaa Punjabi yake anasubiri kuvuta maokoto ya sikuπ
Akipigwa kwenye wikiendi ya October 27-29Kuna wikendi matokeo hunyooka kwelikweli, kama yalivyotabiriwa na maafisa ubashiri. Septemba 15 hadi 17 2023 ilikuwa na matokeo ya hivyo. Naamini betpawa alipigwa hizo bilioni 600 kwenye hii wikendi.
Mkuufulham sioyakufwata ov1.5 na timukubwa wakiwin 1 wakijisahau0/0Leo Kuna hela ila nadhani Chelsea na Fulham wanaweza wakawa wametukosesha mamillion kisa kutokutoa over 1.5
Haha sawaMkuufulham sioyakufwata ov1.5 na timukubwa wakiwin 1 wakijisahau0/0