Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tahadhari maafisa:
Wikendi hii laliga usiziweke kwenye mkeka wowote wa kimkakati Sevilla na Real Sociadad, hao waafrika kusini wanaotengeneza na kuuza odds wamezipata odds hizo mechi mbili kinyume kabisa na ubashiri wa maafisa wengi.
Ikitokea hivyo inafaa kuziacha kabisa hizo mechi kwenye mikeka yote ya kimkakati.
Dah! Betting ni biashara ya watu aise! Sisi tunabahatisha.
Mambo yamekwenda kama yalivyo.
 
Back
Top Bottom