scrappy
JF-Expert Member
- Apr 8, 2019
- 450
- 565
Kwa mfano nimeweka one cut kwenye system na stake nimeweka 2000.. ikasoma million 6, harafu katika list mechi nilizobet Ni moja tu nimelost Ina maanisha sitopata kiwango kilekile kilichokuwa kinasoma mwanzo million 6?! Je kama sio million 6 Ina maanisha wataka nusu ya M6 au watanipatia 2000 ?!One cut wanakulipa amount ndogo ukichana mechi moja na payout inapungua kidogo ..Mara nyingi unalipwa almost sawa na stake
Flexible unasema zikichana mechi 1, 2 or 3 n.k unalipwa kiasi fulani fixed..so ikiwa kwenye range hio hata ukishinda mechi zote... unalipwa kiasi ulichoflex