Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sababu Kanji sio Mzalendo na hana huruma na Wakamaria, nitaamua kumuonesha maana ya Uzalendo kwa vitendo.
Screenshot (72).png
 
HUU UZI UMEANZISHWA MWAKA 2013, NATAKA AJE MTU HAPA ASEME LINI TRENI YA TIMU 40 ODDS ELFU KUMI NA ILIWAHI KUSHINDA! AJE MTU HAPA NA USHAHIDI NIMPE LAKI MOJA!...HAKUNA HATA MOJA...KWA HIYO NINYI ENDELEENI MCHANGIA KANJI TU UNADHARAU UNASEMA KA SH 100 HELA NDOGO TU HATA NIKIPOTEZA LAKINI JUA MKO MILIONI TANO MNAWEKA MIA MSHAMPA KANJIBAI MILIONI 500 YA BURE[emoji23][emoji23][emoji23]
Unanipa laki moja sure??
 
HUU UZI UMEANZISHWA MWAKA 2013, NATAKA AJE MTU HAPA ASEME LINI TRENI YA TIMU 40 ODDS ELFU KUMI NA ILIWAHI KUSHINDA! AJE MTU HAPA NA USHAHIDI NIMPE LAKI MOJA!...HAKUNA HATA MOJA...KWA HIYO NINYI ENDELEENI MCHANGIA KANJI TU UNADHARAU UNASEMA KA SH 100 HELA NDOGO TU HATA NIKIPOTEZA LAKINI JUA MKO MILIONI TANO MNAWEKA MIA MSHAMPA KANJIBAI MILIONI 500 YA BURE😂😂😂
Kuna tunao honga mademu pesa ndefu tu na tuna familia.
Kuna ambao wakikaa kaunta kuteketeza 20,000 mpaka 50,000 ni kawaida.
Kuna wavuta fegi.
Tuna jaza mafuta magari na hatuna mizunguko ya maana mjini.
Tunaingiza milioni 4 shamba na tunatoka na maumivu ya mgongo na sugu mikononi.
BETI KISTAARABU WALA HUTAPATA STRESS.
LETENI CODES WANA......
 
Mimi ni miongoni mwa wateja wakubwa wa kampuni ya Premier Bet mpaka kufikia hadhi ya VIP customer. Nimekuwa nikibet zaidi ya milioni moja kwa siku lakini kuna trend moja nimeishuhudia siku za karibuni kwa kampuni hiyo kufuta baadhi ya mechi sense odds kubwa baada ya kula. Pia kumekuwa na trend ya kampuni kubadilisha option aliyoweka mteja ili kumuibia hasa pale anapokula.

Mbaya zaidi ukiwapigia kitengo cha huduma kwa wateja utafokewa au wasipokee simu. Wadau wa betting kuweni makini msije kuibiwa na kutapeliwa na hawa matapeli wanaojua kukusanya tu na kuibia wateja

Chini nimeambatanisha mikeka miwili ya mechi moja ambapo mkeka uliopoteza mechi imehesabiwa lakini mkeka uliokula mechi imefutwaView attachment 2872422View attachment 2872421
Nimeangalia sehemu uliobet million kwa siku ila sijaona
 
Yaani ulikuwa a useful customer tena mpaka ukawa VIP kwa muda mrefu lakini uliposhindwa kushinda ndio wamekuwa matapeli au akili imekurudia sasa muda wote ulikuwa zombie?
 
Umekula maharage ya wapi leo?
HUU UZI UMEANZISHWA MWAKA 2013, NATAKA AJE MTU HAPA ASEME LINI TRENI YA TIMU 40 ODDS ELFU KUMI NA ILIWAHI KUSHINDA! AJE MTU HAPA NA USHAHIDI NIMPE LAKI MOJA!...HAKUNA HATA MOJA...KWA HIYO NINYI ENDELEENI MCHANGIA KANJI TU UNADHARAU UNASEMA KA SH 100 HELA NDOGO TU HATA NIKIPOTEZA LAKINI JUA MKO MILIONI TANO MNAWEKA MIA MSHAMPA KANJIBAI MILIONI 500 YA BURE😂😂😂
 
One cut wanakulipa amount ndogo ukichana mechi moja na payout inapungua kidogo ..Mara nyingi unalipwa almost sawa na stake
Flexible unasema zikichana mechi 1, 2 or 3 n.k unalipwa kiasi fulani fixed..so ikiwa kwenye range hio hata ukishinda mechi zote... unalipwa kiasi ulichoflex
Napendelea zaidi flexbet kuliko One cut maana kwenye flexibet ikichana hata tatu mpunga unapiga mkubwa kiasi tofauti na onecut hata ikichana moja unarudishiwa karibu na stake uliyoweka
 
Back
Top Bottom