Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umelewaSababu Kanji sio Mzalendo na hana huruma na Wakamaria, nitaamua kumuonesha maana ya Uzalendo kwa vitendo.
View attachment 2872789
Unanipa laki moja sure??HUU UZI UMEANZISHWA MWAKA 2013, NATAKA AJE MTU HAPA ASEME LINI TRENI YA TIMU 40 ODDS ELFU KUMI NA ILIWAHI KUSHINDA! AJE MTU HAPA NA USHAHIDI NIMPE LAKI MOJA!...HAKUNA HATA MOJA...KWA HIYO NINYI ENDELEENI MCHANGIA KANJI TU UNADHARAU UNASEMA KA SH 100 HELA NDOGO TU HATA NIKIPOTEZA LAKINI JUA MKO MILIONI TANO MNAWEKA MIA MSHAMPA KANJIBAI MILIONI 500 YA BURE[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna tunao honga mademu pesa ndefu tu na tuna familia.HUU UZI UMEANZISHWA MWAKA 2013, NATAKA AJE MTU HAPA ASEME LINI TRENI YA TIMU 40 ODDS ELFU KUMI NA ILIWAHI KUSHINDA! AJE MTU HAPA NA USHAHIDI NIMPE LAKI MOJA!...HAKUNA HATA MOJA...KWA HIYO NINYI ENDELEENI MCHANGIA KANJI TU UNADHARAU UNASEMA KA SH 100 HELA NDOGO TU HATA NIKIPOTEZA LAKINI JUA MKO MILIONI TANO MNAWEKA MIA MSHAMPA KANJIBAI MILIONI 500 YA BURE😂😂😂
Ndio uchawi kanji katuloga hapo[emoji28][emoji28]Kuna mtu anaweka 200 aniona milioni 20 ile paleee. Baadae anaumia kwa kukosa mil 20 badala aumie kwa kupoteza 200 yake. [emoji38][emoji38][emoji23]
Hawa Premier Bet ni matapeliHatari sana
Nimeangalia sehemu uliobet million kwa siku ila sijaonaMimi ni miongoni mwa wateja wakubwa wa kampuni ya Premier Bet mpaka kufikia hadhi ya VIP customer. Nimekuwa nikibet zaidi ya milioni moja kwa siku lakini kuna trend moja nimeishuhudia siku za karibuni kwa kampuni hiyo kufuta baadhi ya mechi sense odds kubwa baada ya kula. Pia kumekuwa na trend ya kampuni kubadilisha option aliyoweka mteja ili kumuibia hasa pale anapokula.
Mbaya zaidi ukiwapigia kitengo cha huduma kwa wateja utafokewa au wasipokee simu. Wadau wa betting kuweni makini msije kuibiwa na kutapeliwa na hawa matapeli wanaojua kukusanya tu na kuibia wateja
Chini nimeambatanisha mikeka miwili ya mechi moja ambapo mkeka uliopoteza mechi imehesabiwa lakini mkeka uliokula mechi imefutwaView attachment 2872422View attachment 2872421
Hawa jamaa aiseee.Nimeangalia sehemu uliobet million kwa siku ila sijaona
Kipindianasoma alikuwa anaipenda sana Fasihi, hasa kipengele cha majigamboHawa jamaa aiseee.
MLIOFATA HUU NAONA KUDALILI ZA ULAJISURE ODDS 3.39+
KAMPUNI BETPAWA
CODE: 2CE82C4
STAKE HIGH 💯
PERCENTAGE WINNING 99.9%
TRUST ME STAKE HIGH AND RELAX UKISHAKULA UJE UTAOE SHUKRAN
NOTE: KAMA 3+ KAJARIBISHIE KWA MKEO
HUU UZI UMEANZISHWA MWAKA 2013, NATAKA AJE MTU HAPA ASEME LINI TRENI YA TIMU 40 ODDS ELFU KUMI NA ILIWAHI KUSHINDA! AJE MTU HAPA NA USHAHIDI NIMPE LAKI MOJA!...HAKUNA HATA MOJA...KWA HIYO NINYI ENDELEENI MCHANGIA KANJI TU UNADHARAU UNASEMA KA SH 100 HELA NDOGO TU HATA NIKIPOTEZA LAKINI JUA MKO MILIONI TANO MNAWEKA MIA MSHAMPA KANJIBAI MILIONI 500 YA BURE😂😂😂
One cut wanakulipa amount ndogo ukichana mechi moja na payout inapungua kidogo ..Mara nyingi unalipwa almost sawa na stakeBado mkuu
Admin Watapita Na Yeye Vizuri Tu Kwa Kuweka Link.Huu uzi umevamiwa sasa
Nimeangalia sehemu uliobet million kwa siku ila sijaona
Napendelea zaidi flexbet kuliko One cut maana kwenye flexibet ikichana hata tatu mpunga unapiga mkubwa kiasi tofauti na onecut hata ikichana moja unarudishiwa karibu na stake uliyowekaOne cut wanakulipa amount ndogo ukichana mechi moja na payout inapungua kidogo ..Mara nyingi unalipwa almost sawa na stake
Flexible unasema zikichana mechi 1, 2 or 3 n.k unalipwa kiasi fulani fixed..so ikiwa kwenye range hio hata ukishinda mechi zote... unalipwa kiasi ulichoflex