Kwa mfano nimeweka one cut kwenye system na stake nimeweka 2000.. ikasoma million 6, harafu katika list mechi nilizobet Ni moja tu nimelost Ina maanisha sitopata kiwango kilekile kilichokuwa kinasoma mwanzo million 6?! Je kama sio million 6 Ina maanisha wataka nusu ya M6 au watanipatia 2000 ?!One cut wanakulipa amount ndogo ukichana mechi moja na payout inapungua kidogo ..Mara nyingi unalipwa almost sawa na stake
Flexible unasema zikichana mechi 1, 2 or 3 n.k unalipwa kiasi fulani fixed..so ikiwa kwenye range hio hata ukishinda mechi zote... unalipwa kiasi ulichoflex
Mkuu kwa mizigo hio Maximum ulishawahi shinda sh ngapi?
Hizo game mchawi niko hapa napiga pesa siku ya 2 hii now hapa nasubiria game ya Algeria niende kwa wakalaAfcon mechi ya 6 wanatoa 2+ in a row. Jichanganye sasa mechi inayofuata.
Hapa natamani ku Cash out tuAfcon mechi ya 6 wanatoa 2+ in a row. Jichanganye sasa mechi inayofuata.
Hii imenitokea majuzi nikasema sito kuja kuweka one cut tena! Niliweka mkeka wa Jumamosi wa Odds 262 kwa buku mbili na mia tano ikasoma nitashinda 559,000 sasa mechi moja tu ikachana tena niliiwekea over 1.5 alafu wakafunga goli moja dakika ya saba hawakufunga tena nikategemea nitalipwa walau kiasi kidogo hata laki au 80k ila niliambulia 2,800Kwa mfano nimeweka one cut kwenye system na stake nimeweka 2000.. ikasoma million 6, harafu katika list mechi nilizobet Ni moja tu nimelost Ina maanisha sitopata kiwango kilekile kilichokuwa kinasoma mwanzo million 6?! Je kama sio million 6 Ina maanisha wataka nusu ya M6 au watanipatia 2000 ?!
We umetumwa kutufilisi nini kwanza ni new member alafu hiyo aviator mmh we utakuwa chuma uleteKaribuni kwenye ulimwengu wa Casino (Aviator) tupige mahelaaa
MFALME WETUKaribuni kwenye ulimwengu wa Casino (Aviator) tupige mahelaaa
Hovyo kabisa8242210 betpawa
Weka flexbet ndo unalipwa kiwango walichosema ila One cut unaweza ambulia 200 mkeka wa kushinda milion 10.Hii imenitokea majuzi nikasema sito kuja kuweka one cut tena! Niliweka mkeka wa Jumamosi wa Odds 262 kwa buku mbili na mia tano ikasoma nitashinda 559,000 sasa mechi moja tu ikachana tena niliiwekea over 1.5 alafu wakafunga goli moja dakika ya saba hawakufunga tena nikategemea nitalipwa walau kiasi kidogo hata laki au 80k ila niliambulia 2,800
Tupige au tupigwe mahela? House always win, tena huko kwa virtual/machine ndiyo kabisa unapigwa kama ngoma.Karibuni kwenye ulimwengu wa Casino (Aviator) tupige mahelaaa
Iko kindege saiv nina allergy nacho mkuu
Huu uchawiiiKaribuni kwenye ulimwengu wa Casino (Aviator) tupige mahelaaa
Mi mwenyewe namsikilizia Algeria tu hapa nimguse yako Kanjibai🤣🤣Hizo game mchawi niko hapa napiga pesa siku ya 2 hii now hapa nasubiria game ya Algeria niende kwa wakala