Leo nimeamka vizur moja ishatema
Nili copy na kupaste huo mkeka, naona tumekufa pamojakama kawaida yangu mechi moja imezingua na odds zake za ajabu ajabu nimekosa $140,,.. tutaonana week ijayo wazee wenzangu
Nili copy na kupaste huo mkeka, naona tumekufa pamoja
:angry:
toa mkeka huo usipige na namba za chini hizo wajanja wananaweza wakakuwahi wakachukua pesa hiyo..
Kifooo kifoo
Kifoo hakina huruma.
Mikeka chaliiiiiiiiiiiiiiiii.
Kesho nayo ni siku. Hii 5000 kwenye account niifanyie nn jamani
Dah mkuu yaani
Biohazard we noma sana aisee na pia unajiamini sana mie jana nimeliwa laki inaniuma sana
Duh, mkuu uwe unatupia kabla ya kucheza.
Well done mkuu naona account imenona
kaitoe tukutane nyama choma 🙂
Kama usd 90 hivi.hahahaaa asante ndugu kwa kuniamini, umekosa tsh ngapi?