Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yeovil anaharibu, huku bristol nae hasomeki, leo ni shidaaa.
 
Yani kinAchoniuma ni timu ya vipoint vidogo inaponiangusha.. Hawa Bradford bana
 
Wakuu naangalua game ya Nigeria hapa yaani wa congo ni warefu karibia wote na nigeria ni vifupi basi burudani sana, Nigeria anaweza akachezea kichapo hapa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
kama kawaida yangu mechi moja imezingua na odds zake za ajabu ajabu nimekosa $140,,.. tutaonana week ijayo wazee wenzangu
 

Attachments

  • 1410022040386.jpg
    1410022040386.jpg
    44.7 KB · Views: 80
Kifooo kifoo
Kifoo hakina huruma.
Mikeka chaliiiiiiiiiiiiiiiii.
Kesho nayo ni siku. Hii 5000 kwenye account niifanyie nn jamani
 
Biohazard we noma sana aisee na pia unajiamini sana mie jana nimeliwa laki inaniuma sana

Duu sahizi Nipo vijijini ila kesho ntatupia tip ya maana moja tu.

Manake mie nikila Mara moja Huwa cjezi tena Sababu wanasema bahati haiji Mara mbili. Ila kesho natupia mkeka hapa nilikua kwenye trials.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom