Azniv Protingas
JF-Expert Member
- Oct 29, 2020
- 335
- 554
Sana zaidi ya sana, Bora pesa yako ukanunue mishkaki utafuneLeo na mimi nikasema ngoja nijaribu Codes yani mikeka 5 imeteketea[emoji23][emoji23][emoji23]ku bet kazi ngumu sana.
Sana zaidi ya sana, Bora pesa yako ukanunue mishkaki utafune
Hali zetu ni mbaya sana
Bilbao [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Nina 10000 inaniwasha washa hapa nataka niwape ushindi mali na ac milan
Mfate Pdidy inbox akupe odds[emoji4][emoji4]Nina 10000 inaniwasha washa hapa nataka niwape ushindi mali na ac milan
Kwa aliefata huu mkeka nadhani umejionea mwenyewe. Ni game 2 tu zimezingua out of 16 games nimekosa 46m. Niliweka elfu 2. Ila ipo siku yake muhindi hizi hela ndefu namkosa padogo sana.Tujaribu na leo tena.
odds 13k
Kampuni: Sportpesa
code: fSHQK4
Subiria kesho leo utapasukaNina 10000 inaniwasha washa hapa nataka niwape ushindi mali na ac milan
Nilipita nao Kesho tena usisahau kunitagKwa aliefata huu mkeka nadhani umejionea mwenyewe. Ni game 2 tu zimezingua out of 16 games nimekosa 46m. Niliweka elfu 2. Ila ipo siku yake muhindi hizi hela ndefu namkosa padogo sana.
ok pamoja mkuu.Nilipita nao Kesho tena usisahau kunitag
What is cash-out?
Hata mimi niliifata... ipo siku tu. Tusikate tamaa. Ngoja tumpe Kanji hela zetu atuwekee siku atazirudisha kwa mkupuo.Kwa aliefata huu mkeka nadhani umejionea mwenyewe. Ni game 2 tu zimezingua out of 16 games nimekosa 46m. Niliweka elfu 2. Ila ipo siku yake muhindi hizi hela ndefu namkosa padogo sana.
Sportpesa code wanaweka sehemu gani mbona sioniHata mimi niliifata... ipo siku tu. Tusikate tamaa. Ngoja tumpe Kanji hela zetu atuwekee siku atazirudisha kwa mkupuo.
Mi naomba tu kujua ulicheza option gani mkuuTujaribu na leo tena.
odds 13k
Kampuni: Sportpesa
code: fSHQK4