Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ziogope sana! na zikwepe kabisa!!! mechi za derby!. ...

Mechi ya Sabah masazir/nefchi Baku imenichania mkeka wa stake kubwa sana kwangu...kwa kutokujua tu!.... Kisa!?.. over 0.5

Mechi za derby Zina matokeo ya kishenzi sana na kikatili !! ya 0-0
 
Kwa hiyo mnawapiga Mimi nikipumzika kubeti, ndo mana tunasema nyie ni mawakala wa kanji Bhai, leteni ushahidi, otherwise mnatudanganya Ili tuendelee kuliwa .
Hiyo hapo ni 1k kwa 150k
 

Attachments

  • Screenshot_20240118_014408_SportyBet.jpg
    78.1 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…