AfisaUbashiriMwandamizi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 794
- 1,139
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
floriana fc anataka kuchana huu mkeka...half time tayari kagongwa huko 0-1
Mechi za mapema ni kwikwiiiiPsv na Fene wanawapa salamu
Hii ligi ya uturuki haya matokeo ni kawaida au ndio pesa ya betting inawaondolea utu!
Mechi ya kwanza 2:2
Mechi ya pili 1:1
Mechi ya tatu 1:1
Na hapo mbuzi mmoja alikuwa na odds 1.19
Hiyo hapo ni 1k kwa 150kKwa hiyo mnawapiga Mimi nikipumzika kubeti, ndo mana tunasema nyie ni mawakala wa kanji Bhai, leteni ushahidi, otherwise mnatudanganya Ili tuendelee kuliwa .
Siyo tu half time, kuna uwezekano atashindwa hata toa FT over 2.5 goals.Buyern kashindwa kutoa over 1st halft Leo ni siku ngumu