Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
1xbet.. na Paripesa...Hii kampuni gani mdau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1xbet.. na Paripesa...Hii kampuni gani mdau?
HatareeeeeeeeHii kazi ngumu wanangu.
SawaNAMIBIA FT X
Hii Kauli ndio ilifanya huu mchezo uitwe KAMARIAghhhhhh beeeettttinggggggg whyyyyyyy nakosa pesa ndefu kwa timu chache za kipuuumbavvvvvvvvvv
Umemuacha Bayern kwa sababu amepoteza leo?Kuna ligi tatu za kukimbizana nazo, england, Spain-- huku chukua man city, liver usiwawaze, arsenal unapimia mechi, Spain kumenuka girona, baka, Madrid hawa kila mtu kwa mechi zilizobaki hawacheki na kima
Italian unaruka na juve, alafu inter anataka gape kwa juve hivyo ukima hakuna,,, hawa usiwawaze
Portuguese kule ni sporting cp anatafuta kitu kwa kila hali
Belgian pale kuna union anamini ni mfululizo atachukua
German - hapa Dortmund hawataki upimbi ila mpimie ,,, japo Kawa wa moto mbaya
Ukweli mchungu.Hii Kauli ndio ilifanya huu mchezo uitwe KAMARI
Maana kesho lazima u deposit,then kesho kutwa, halafu utakula kidogo kisha Vipigo ,then unakula kidogo then Vipigo promax.Hugu Age inakatika
Mechi za usiku ndio zimekuja kuziba hasara ya siku nzima. Nilimpa LIVERPOOL, JUVE NA BARCA. Nikamwongezea na Girona kwa kumfikiria sana nikawa na odds 10 lakini kuna roho ya woga ya kikanjibai ikasema mwondoe Girona na nikamwondoa kweli lakini matokeo yake kashinda.
Nisiwe mnafki binafsi ligi ya German huu msimu sijaielewa,,, huyo dotmond mwenyewe ni miyeyusho misimu yote, ndo maana nimemwekea kuwa ila mpimie ni angalizo maana ana tutabia twake twa asili misimu yote cjui alikoseaga wapi na kupewa laanaUmemuacha Bayern kwa sababu amepoteza leo?
South Africa 4-0 Namibia full time.NAMIBIA FT X
Yaani ukiwa una "free mind" yaani unazicheki game hivi unaziona zipo wazi kabisa ila baadae ukiamua kucheza ndo hapo akili inaingia woga na kijikuta unafanya maamuzi mengine. Ila ulichofanya ni sawa kama unaona moyo wako umekataa kwenye timu unaiondoa japo ikishinda unatumia lakini pia kama ingekosa alafu umeiweka ungeumia pia maana tayari ulionyesha mashaka (Bora uumie Kwa KUTOIWEKA kwenye mkeka alafu ukapata kidogo kuliko kuumia Kwa KUIWEKA kwenye mkeka alafu ikachana.Mechi za usiku ndio zimekuja kuziba hasara ya siku nzima. Nilimpa LIVERPOOL, JUVE NA BARCA. Nikamwongezea na Girona kwa kumfikiria sana nikawa na odds 10 lakini kuna roho ya woga ya kikanjibai ikasema mwondoe Girona na nikamwondoa kweli lakini matokeo yake kashinda.
Ningeacha woga ningebutua odd 10 safi kabisa ila nimeambulia 5.
mkuu. ukitaka kula codes za humu usiweke kama zilivyo, ziedit ndiyo uweke. codes za humu ukitaka kuzifaidi andaa mtaji wa mwezi mzima. kazi yako inakuwa kuedit na kuplace bet, lazima ndani ya mwezi utambutua Kanji parefu.Kwa hiyo mnawapiga Mimi nikipumzika kubeti, ndo mana tunasema nyie ni mawakala wa kanji Bhai, leteni ushahidi, otherwise mnatudanganya Ili tuendelee kuliwa .