Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tulio muua kizimkazi fc tuanze kuandaa njumu mapema.
Screenshot_20240121_204648_Flashscore.jpg
 
Nimefanya tafiti ... Kwa wale wanaocheza 1xbet... Kuna chaguo la kuitwa no digit in first quarter...chagua 9... Katika mechi 100 nilizofuatilia ni 17 tu ndio zimekuwa na 9 .. maana yake ni chini ya asilimia 17 kutokea .. nimeanza kucheza Leo .. ntawapa mrejesho.... Kwa muda wako fuatulia mechi za kikapu kila siku quarter ya kwanza ..ni ngapi zinakuwa na digit/tarakimu 9 ..mtanishukuru Baadae....#MkongweKazini
Screenshot_20240121-204840.jpg

Nne zimepita Bado mbili....
 
Back
Top Bottom