Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3-2Madrid kapigwa au
Real Madrid kashindaKanji kafurahi sana leo.
Hivi kweli kuna mtu alimuua BAYERN na MADRID? Kweli?
Hatimaye Real Madrid kashindaKwa mpira unavyoenda real madrid anaweza shinda hii mechi.
Waliomuua stars muwahi cashout, hii mechi likely anashinda au anatoa sareZambia anapigwa chuma cha 1 dakika za mapema
Simon Msuva
BetpawaInvalid
Pole, ndiyo uafisa wenyewe.Aghhhhhh beeeettttinggggggg whyyyyyyy nakosa pesa ndefu kwa timu chache za kipuuumbavvvvvvvvvv
Nimefanya tafiti ... Kwa wale wanaocheza 1xbet... Kuna chaguo la kuitwa no digit in first quarter...chagua 9... Katika mechi 100 nilizofuatilia ni 17 tu ndio zimekuwa na 9 .. maana yake ni chini ya asilimia 17 kutokea .. nimeanza kucheza Leo .. ntawapa mrejesho.... Kwa muda wako fuatulia mechi za kikapu kila siku quarter ya kwanza ..ni ngapi zinakuwa na digit/tarakimu 9 ..mtanishukuru Baadae....#MkongweKazini
Yaani katika kikabu regular achan na NCCB (KIKAPU CHA COLLEGE USA) .... Kinakuwa na robo nne ..Ile robo ya kwanza katika kufungana kwao kusiwe na 9..yaani yeyote asifunge point 19 ama 29...Naomba ufafanuzi zaidi
Tulio muua kizimkazi fc tuanze kuandaa njumu mapema.View attachment 2878911
Nawaongezea hii...