Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi ya Eupen imekuwaje wadau? Niliona kama imesimamishwa mara ghafla naona Full Time 0-1
 
Kuna ligi tatu za kukimbizana nazo, england, Spain-- huku chukua man city, liver usiwawaze, arsenal unapimia mechi, Spain kumenuka girona, baka, Madrid hawa kila mtu kwa mechi zilizobaki hawacheki na kima

Italian unaruka na juve, alafu inter anataka gape kwa juve hivyo ukima hakuna,,, hawa usiwawaze

Portuguese kule ni sporting cp anatafuta kitu kwa kila hali

Belgian pale kuna union anamini ni mfululizo atachukua

German - hapa Dortmund hawataki upimbi ila mpimie ,,, japo Kawa wa moto mbaya
 
Umemuacha Bayern kwa sababu amepoteza leo?
 
Huyu girona ni moto akiamua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi za usiku ndio zimekuja kuziba hasara ya siku nzima. Nilimpa LIVERPOOL, JUVE NA BARCA. Nikamwongezea na Girona kwa kumfikiria sana nikawa na odds 10 lakini kuna roho ya woga ya kikanjibai ikasema mwondoe Girona na nikamwondoa kweli lakini matokeo yake kashinda.

Ningeacha woga ningebutua odd 10 safi kabisa ila nimeambulia 5.
 
Umemuacha Bayern kwa sababu amepoteza leo?
Nisiwe mnafki binafsi ligi ya German huu msimu sijaielewa,,, huyo dotmond mwenyewe ni miyeyusho misimu yote, ndo maana nimemwekea kuwa ila mpimie ni angalizo maana ana tutabia twake twa asili misimu yote cjui alikoseaga wapi na kupewa laana

Mikeka ya mavino ni england na Spain kwa direct

German wana mambo yao
 
Yaani ukiwa una "free mind" yaani unazicheki game hivi unaziona zipo wazi kabisa ila baadae ukiamua kucheza ndo hapo akili inaingia woga na kijikuta unafanya maamuzi mengine. Ila ulichofanya ni sawa kama unaona moyo wako umekataa kwenye timu unaiondoa japo ikishinda unatumia lakini pia kama ingekosa alafu umeiweka ungeumia pia maana tayari ulionyesha mashaka (Bora uumie Kwa KUTOIWEKA kwenye mkeka alafu ukapata kidogo kuliko kuumia Kwa KUIWEKA kwenye mkeka alafu ikachana.
 
Kwa hiyo mnawapiga Mimi nikipumzika kubeti, ndo mana tunasema nyie ni mawakala wa kanji Bhai, leteni ushahidi, otherwise mnatudanganya Ili tuendelee kuliwa .
mkuu. ukitaka kula codes za humu usiweke kama zilivyo, ziedit ndiyo uweke. codes za humu ukitaka kuzifaidi andaa mtaji wa mwezi mzima. kazi yako inakuwa kuedit na kuplace bet, lazima ndani ya mwezi utambutua Kanji parefu.

mi mwenyewe nadunduliza mtaji kutoka kwa Kanji mwenyewe nifanye hivyo, sitoi hela yangu mfukoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…