rollover nzuri ni ya odds 1.1 hadi 2 kwa siku 2-3 . tofauti na hapo utakuwa unapoteza daily.Roll-Over Betting ina Faida na Hasara zake Pia.
Hasara yake ni kuwa kile chote ulichoshinda unakiweka tena. So siku ukipoteza unakuwa umepoteza chote, Hata Mtaji ulio kuwa nao wa Tsh 1000 kuanza upya unatakiwa kuwa na Tsh 1000 tena.
Roll-Over Betting inahitaji Umakini wa Hali ya Juu, nidhamu, na Kufanya machagui yaliyo sahihi hasa Timu bora Nyingi zinapocheza kwa Wakati mmoja.
Umebet over wewe 1hlfKuna Muda Sheria Ya Offside Inapingana na Physics
Mtu anawezaje kuwa Offside akiwa Kwenye Motion? Nimeangalia Goli la Pili la IRAN lililo kataliwa yaani Mtu yupo kwenye Motion anakuwaje Offside [emoji28][emoji28] na Ni goti tuu ndio limezidi [emoji28]
4C4B595 mechi za leo nnazoziona ni hizo tu!
By then timu ya championship humo iko mechi 1 tu! Ya chesterfield! Ambayo ina uhakika zaidi ya asilimia 80, kati ya zaidi ya 40 zitakazokuwa zinazungusha viuno uwanjani!
Championship mabingwa wa kutoa matokeo ya kikatili! Ya 0-0!
Mkuu code ya PARIPESA hii hapa GL717uwe unanitag...
Mkuu code ya PARIPESA hii hapa GL717Nashukuru Mkuu nitaongeza Stake naomba hata hizo 3
Hii kitu ntaachana nayo matokeo yanatoka ya ajabu ajabu utashangaa watu wanapiga point 27 hukoDraw umepatia ila ni draw ya ngapi ngapi mimi 0-0 , wao 2-2 wamejua kuniumbua falasi sana hawa🤣
View attachment 2880674
Watu wanabet asee ata correct score hawakosi haya mambo ni magumu sanaHii kitu ntaachana nayo matokeo yanatoka ya ajabu ajabu utashangaa watu wanapiga point 27 huko
Hivi mikeka hii kuna watu wana boomu71A0E97 Sportbety
Tupate wote/ Tuliwe wote.
Kuna timu zina makusudi!!
Kwahiyo huyu ligi huu mzunguuko wa pili kaamua kuanza hivi
Afcon itafirisi wawekezaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili Timu Yaani Hata Goal 1 tuuu hamna [emoji2369][emoji2369][emoji2369] na Alikuwa na odds 1.18 [emoji2297]