Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tukiwa hatuna stake huwa tunarelax kama hivi hatuna presha na timu zao🧘😁
 
Draw umepatia ila ni draw ya ngapi ngapi mimi 0-0 , wao 2-2 wamejua kuniumbua falasi sana hawa🤣
Screenshot_20240123-174948.png
 
Roll-Over Betting ina Faida na Hasara zake Pia.

Hasara yake ni kuwa kile chote ulichoshinda unakiweka tena. So siku ukipoteza unakuwa umepoteza chote, Hata Mtaji ulio kuwa nao wa Tsh 1000 kuanza upya unatakiwa kuwa na Tsh 1000 tena.

Roll-Over Betting inahitaji Umakini wa Hali ya Juu, nidhamu, na Kufanya machagui yaliyo sahihi hasa Timu bora Nyingi zinapocheza kwa Wakati mmoja.
rollover nzuri ni ya odds 1.1 hadi 2 kwa siku 2-3 . tofauti na hapo utakuwa unapoteza daily.
 
Kuna Muda Sheria Ya Offside Inapingana na Physics

Mtu anawezaje kuwa Offside akiwa Kwenye Motion? Nimeangalia Goli la Pili la IRAN lililo kataliwa yaani Mtu yupo kwenye Motion anakuwaje Offside [emoji28][emoji28] na Ni goti tuu ndio limezidi [emoji28]
 
Umebet over wewe 1hlf
 
4C4B595 mechi za leo nnazoziona ni hizo tu!

By then timu ya championship humo iko mechi 1 tu! Ya chesterfield! Ambayo ina uhakika zaidi ya asilimia 80, kati ya zaidi ya 40 zitakazokuwa zinazungusha viuno uwanjani!

Championship mabingwa wa kutoa matokeo ya kikatili! Ya 0-0!
 
Screen Shoot Please Niweke Mkeka
 
Kuna timu zina makusudi!!
Kwahiyo huyu ligi huu mzunguuko wa pili kaamua kuanza hivi
 
Attachments

  • Screenshot_20240123-192613.png
    Screenshot_20240123-192613.png
    61.7 KB · Views: 5
Back
Top Bottom