Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijaweka code atii! Account yangu nimekuta imefungwa
Ila weka account unayotumia kama betpawa, betway, sportpesa wakiona wadau watakupa code
Naonaga madogo wanabet na wanapata Sema Kuna muda wanaliwaa
 
utaendelea kupigwa na muhindi mpaka utafirisika wewe......jitahidi kuweka game chache na stake ndogo ..betting ina tabia ya kubadirika badirika...mwezi December nilimpiga muhindi kama laki saba hivi na nilikuwa na stake 5000 tu mwisho 10000 kwa direct win na double chance , over/ under ilikuwa ni kwa uchache saaana...kipindi hiki direct win ni chache na muda mwingine hakuna kabisa......ukiingia kwenye site nyingi za prediction kama sports mole na oddspedding.com utakuta wanavyobeti wao kipindi hiki game nyingi ni droo au over/ under kwa mfano game ya leo ya girona wengi wamempa droo....kuwa makini sana na usitangulize tamaa,,weka mbele hisia na skills tamaa iwe nyuma ya hivyo vitu viwili
ni oddspedia, siyo oddspedding
 
Naonaga madogo wanabet na wanapata Sema Kuna muda wanaliwaa
Kuna kula na kuliwa na huwezi jua siku yako itakayokutoa kimasomaso. Kuna mikeka ya hela ndefu, Kati kwaajili ya kusogeza siku mbili tatu mbele ya laki tano mpaka moja na Kuna mikeka ya kukuzia mtaji ya 10k to 90k. Sasa wewe utajua unasukaga ya aina gani.
 
Daah nimempa Girona,liver na barca kwa 47k naona kama nimeweka peke yangu....hata Pdidy mzee wa ngumu katika tips zake sijaona akiwapa hao watu
 
Back
Top Bottom