Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Wale wa Girona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Girona naye jana ameenda tofauti kabisa. Ila kwa timu nyingi kupoteza jana, michezo ijayo itakuwa mizuri kwao na matokeo yatakuwa mazuri kwa asilimia kubwa.Wale wa Girona?
Mkuu hii sio poa asee mkuu pole sana,Nimeamka Kuangalia Mikeka Yangu Niliyo kuwa nina iamini [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Naacha Kubet kwa Muda Asanteni.
No retreat no surrender
mabehewa yalikuwa yanaunganishiwa betpawa kwa ajili ya bonus, sasa hicho kituo wakamaria hawakitaki tena.Umu ndani siku hizi hakuna matreni tena
Umu ndani siku hizi hakuna matreni tena
Hapana, ukiweka 10000, wanakudouble na ukiweka 125000 wana kudouble vilevile. Hiyo inatokea unapojisajili kwa mara ya kwanza na kuweka hela. Ila mwisho ni 250000Kirahisi RAHISI tu 250k eenh!?
Kama ushawahi kutumia makampuni ya 1xbet na Helabet utagundua jinsi ukifungua akaunti kwa kutumia Promo Code inavyo fanya kazi.Kirahisi RAHISI tu 250k eenh!?
Hivi matreni hua yanatoboa? Maana kila nikiweka linaishia pwani [emoji23][emoji23][emoji23]Umu ndani siku hizi hakuna matreni tena
Wakala wa kanjiKama ushawahi kutumia makampuni ya 1xbet na Helabet utagundua jinsi ukifungua akaunti kwa kutumia Promo Code inavyo fanya kazi.
Kwanini unasema hivyo mkuu? Siyo kila mtu wakala wa Kanji. Ila kama umewahi kutumia hizo app unajua kuna bonus kubwa tu hutolewaWakala wa kanji
Kwani Bayern Munchen kawaje sahv???