Niliweka bqshiri kistaarabu ya amountHukuitumia nini hiyo a/c Kwa mwaka mzima?
Gg ana 1.92Girona nimempa mazima, nawakubali Sana hao madogo
Naonaga madogo wanabet na wanapata Sema Kuna muda wanaliwaaSijaweka code atii! Account yangu nimekuta imefungwa
Ila weka account unayotumia kama betpawa, betway, sportpesa wakiona wadau watakupa code
ni oddspedia, siyo oddspeddingutaendelea kupigwa na muhindi mpaka utafirisika wewe......jitahidi kuweka game chache na stake ndogo ..betting ina tabia ya kubadirika badirika...mwezi December nilimpiga muhindi kama laki saba hivi na nilikuwa na stake 5000 tu mwisho 10000 kwa direct win na double chance , over/ under ilikuwa ni kwa uchache saaana...kipindi hiki direct win ni chache na muda mwingine hakuna kabisa......ukiingia kwenye site nyingi za prediction kama sports mole na oddspedding.com utakuta wanavyobeti wao kipindi hiki game nyingi ni droo au over/ under kwa mfano game ya leo ya girona wengi wamempa droo....kuwa makini sana na usitangulize tamaa,,weka mbele hisia na skills tamaa iwe nyuma ya hivyo vitu viwili
Kuna kula na kuliwa na huwezi jua siku yako itakayokutoa kimasomaso. Kuna mikeka ya hela ndefu, Kati kwaajili ya kusogeza siku mbili tatu mbele ya laki tano mpaka moja na Kuna mikeka ya kukuzia mtaji ya 10k to 90k. Sasa wewe utajua unasukaga ya aina gani.Naonaga madogo wanabet na wanapata Sema Kuna muda wanaliwaa
Leo tumeingiliwa humu!!!Naomba code na mie nijaribu bahati basi 🤣
Girona atashinda mkuu.Daah nimempa Girona,liver na barca kwa 47k naona kama nimeweka peke yangu....hata Pdidy mzee wa ngumu katika tips zake sijaona akiwapa hao watu
Wala siwazi dingi...Pole sana kwa kutopata BONUS yako. Ili upate bonus yako ilitakiwa ujaze taarifa zako kikamilifu. Ina maana ilitakiwa taarifa zote zijazwe.
Dah! Yan naona kabisa Msimbaz wangu unachukuliwa Leo.Fenarbache Kona Hapigi, Magoal Hafungi yaani hii Timu Recently imekuwa Ya Kipuuzi Sana
Mechi iliyopita alinichania. Leo nimeomba 2+ naona na hii kwaheri.Fenarbache Kona Hapigi, Magoal Hafungi yaani hii Timu Recently imekuwa Ya Kipuuzi Sana
Fenerbahce siku hizi Kawa qqquma tu, AFCON imekuja kimapqumbu
Dakika za jioni kabisa, ashukuriwe refa.Watu wana RED 2 Ila Hata Ku score Hawawezi