Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana biashara hii ilikuwa ngumu sana. Karibia kila timu ilileta matokeo tofauti sana. Benfica na odd yake ile na mwenzake Estoril. Hakika ilikuwa siku mbaya sana kazini.
 
Mikeka imechanika siku mbaya wengine wametoka kupokea mishahara, wanatenga kabajeti ka kubetia lakini ndio hivyo wanaanza na balaa.
 
Nimeamka Kuangalia Mikeka Yangu Niliyo kuwa nina iamini [emoji2297][emoji2297][emoji2297]

Naacha Kubet kwa Muda Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…