Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila hii kazi ngumu aise, yani bayern mzee wa kona nyingi leo mpaka 1H eti kapiga kona moja tu aise dah
 
Hili jukwaa siku hizi limekuwa na mwelekeo usio mzuri ndio maana kuna baadhi ya wakongwe wameamua kujibetia kimya kimya, huwakuti wakiandika chochote humu.
° Kuna Proffesor mzee wa 10 minutes X simkuti humu
° Kuna mwamba alikuwa anaitwa going concern alikuwa anaweka stake za milioni 2 simwoni.
° Kuna yule hodari wa basketi pia simwoni
° Kuna jamaa yeye kaamua kukimbilia jukwaa la mapenzi kabisa
° Kuna yule alikuwa anatupia live, ikiboom anaandika "aisee" yeye stake zake ilikuwa 50k kupanda.
Kuna yule mwamba wakuitwa SALUM MAZWAZWA Mzee wa kuku akiwin anapost na paja la kuku 🤣🤣

Sijui Yuko wap Mzee wa live bet
 
[emoji16] mkuu . Trade ya sportyhero Haina code za kutoa mikeka. (Ni cash in /cash out - auto or Manual na dole gumba lako.

Codes ni darasa la sign za ku stake boom. Kwa ambaye amecheza anaweza kuelewa Nini Namaanisha .

If 100 /10000 (P balance) ,naweza make to 15k Kwa masaa 6 .( Hii ndio nafanya Mimi).
Wat if principal balance ikawa 150k. Kwa 1000 TU.
Mwenye uwezo wa ku risk .
Kwa masaa sita 150k ni faida .
(Codes za Mpira kwangu zimegoma [emoji23]- lose ni nyingi).


#Kama Kuna ambaye anauwezo wa chase odds. And play for funny huku anaingiza hela .
I can share codes bila shida. Na atanishukuru badae.

(Na sababu ya kuja kuongea inbox si kutapeli watu, hapana aisee. Ila ni sababu wachache ndio wenye uelewa, japo wengi wamecheza na kuona wanapoteza while 70% ku kupata hela upo.)

Nawishi kushare experience na walio wahi kucheza .

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
sportyhero ni casino jamii ya aviator. comment yako ya kwanza nilipoona kutrade nikajua ni forex. kumbe unamaanisha aviator!!.

nilijiungaga na magroup whatsapp ya kutoa free signals za aviator. magroup yenyewe yamefungwa comments watu msicomment. tutorials zikawa nyingi mara pink mara purple mara kitu gani sijui, nikaona ujinga huu tutorials nyingi halafu sioni muelekeo, nikaleft magroup yote.
 
Mama alai. Nilimwekea Angola ashinde first half livebet nimeona amepata red card nikabet tena Namibia ashinde first half, nao wamezingua nimekuja kula mkeka wa kwanza ule wa pili nimeliwa.[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom