Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naona mahubiri mengi sana leo! Maafisa shusheni code tucopy, biashara asubuh na jioni ni mahesabu! Shusheni code hapa hapa mie ukiniita Inbox tu tayari najua unataka kunitapeli we ni wakala wa kanji 😂!
 
12C63C9 - ODDS 2+
Screenshot_20240127-114243.jpg
 
Hili jukwaa siku hizi limekuwa na mwelekeo usio mzuri ndio maana kuna baadhi ya wakongwe wameamua kujibetia kimya kimya, huwakuti wakiandika chochote humu.
° Kuna Proffesor mzee wa 10 minutes X simkuti humu
° Kuna mwamba alikuwa anaitwa going concern alikuwa anaweka stake za milioni 2 simwoni.
° Kuna yule hodari wa basketi pia simwoni
° Kuna jamaa yeye kaamua kukimbilia jukwaa la mapenzi kabisa
° Kuna yule alikuwa anatupia live, ikiboom anaandika "aisee" yeye stake zake ilikuwa 50k kupanda.
 
Wewe leta code miamba wapo Greatest Of All Time mr pipa Mbaga Jr maranguvillage

Limepoteza mwelekeo kivipi? Kwamba watu wanapost content zisizohusiana na betting!?
 
[emoji23] Humu wenzako tuna share bure acha utapeli wewe. Jana wengine tulimpa man city apate goli mbili single bet na mkeka ukachanika

Nenda facebook utawapata
[emoji16] mkuu . Trade ya sportyhero Haina code za kutoa mikeka. (Ni cash in /cash out - auto or Manual na dole gumba lako.

Codes ni darasa la sign za ku stake boom. Kwa ambaye amecheza anaweza kuelewa Nini Namaanisha .

If 100 /10000 (P balance) ,naweza make to 15k Kwa masaa 6 .( Hii ndio nafanya Mimi).
Wat if principal balance ikawa 150k. Kwa 1000 TU.
Mwenye uwezo wa ku risk .
Kwa masaa sita 150k ni faida .
(Codes za Mpira kwangu zimegoma [emoji23]- lose ni nyingi).

#Kama Kuna ambaye anauwezo wa chase odds. And play for funny huku anaingiza hela .
I can share codes bila shida. Na atanishukuru badae.

(Na sababu ya kuja kuongea inbox si kutapeli watu, hapana aisee. Ila ni sababu wachache ndio wenye uelewa, japo wengi wamecheza na kuona wanapoteza while 70% ku kupata hela upo.)

Nawishi kushare experience na walio wahi kucheza .

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Vipi kuhusu aviator
 
Hili jukwaa siku hizi limekuwa na mwelekeo usio mzuri ndio maana kuna baadhi ya wakongwe wameamua kujibetia kimya kimya, huwakuti wakiandika chochote humu.
° Kuna Proffesor mzee wa 10 minutes X simkuti humu
° Kuna mwamba alikuwa anaitwa going concern alikuwa anaweka stake za milioni 2 simwoni.
° Kuna yule hodari wa basketi pia simwoni
° Kuna jamaa yeye kaamua kukimbilia jukwaa la mapenzi kabisa
° Kuna yule alikuwa anatupia live, ikiboom anaandika "aisee" yeye stake zake ilikuwa 50k kupanda.
Mkuu.
Naomba tag for me. Hao watu . Nakuomba tafadhali.. Nahitaji kuongea nao , serious aisee.
Ni Risk takers,Ambao they can stake higher . Nahitaji kushare nao jambo.
(Watapata hela wao , Ila namimi wakiniamini nitakua Kama wao).

Kuna mahali , Kuna codes nimezinasa , Codes nimezinasa . Namaanisha kabisa .CODE NIMEZINASA.
Sijapewa Imani TU.
Nisaidie mkuu.

#NI KWELI KUNA JAMAA ALIKUA ANA STAKE ADI 1M, NA ANAPOTEZA .
AISEE HUYU NAOMBA AISEE NATAKA KU SHARE NAE JAMBO.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Tuanze na real sociedad kisha leipzig

Hawa na Kubali

Japo Real Sociedad Amewekwa sana kwenye Direct Win ila namuogopa

Namuogopa Everton Pia.

Barcelona ananipa Mashaka sanaa anapo kutana na Villarreal

Wakuu Tushirikiane, leteni timu zingine za kuzikwepa leo…

Hii ndio Siku inayokuwaga na matokeo ya Kushangaza.
 
Aviator hapana . Code yake haisomeki .
Sporty hero. Ni best . Namaanisha very predictable.

Narudia Tena .
MTAJI MTAJI MTAJI NI SILAHA.
NJOO INBOX MKUU NAWEZA KU SHARE JAMBO NA WEWE .

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu.
Naomba tag for me. Hao watu . Nakuomba tafadhali.. Nahitaji kuongea nao , serious aisee.
Ni Risk takers,Ambao they can stake higher . Nahitaji kushare nao jambo.
(Watapata hela wao , Ila namimi wakiniamini nitakua Kama wao).

Kuna mahali , Kuna codes nimezinasa , Codes nimezinasa . Namaanisha kabisa .CODE NIMEZINASA.
Sijapewa Imani TU.
Nisaidie mkuu.

#NI KWELI KUNA JAMAA ALIKUA ANA STAKE ADI 1M, NA ANAPOTEZA .
AISEE HUYU NAOMBA AISEE NATAKA KU SHARE NAE JAMBO.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Acha utapeli dog
 
Back
Top Bottom