oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
FFD47B4 Sportbety
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanze na real sociedad kisha leipzigTimu gani niziogope leo kwenye Direct Winn?
Hili jukwaa siku hizi limekuwa na mwelekeo usio mzuri ndio maana kuna baadhi ya wakongwe wameamua kujibetia kimya kimya, huwakuti wakiandika chochote humu.
° Kuna Proffesor mzee wa 10 minutes X simkuti humu
° Kuna mwamba alikuwa anaitwa going concern alikuwa anaweka stake za milioni 2 simwoni.
° Kuna yule hodari wa basketi pia simwoni
° Kuna jamaa yeye kaamua kukimbilia jukwaa la mapenzi kabisa
° Kuna yule alikuwa anatupia live, ikiboom anaandika "aisee" yeye stake zake ilikuwa 50k kupanda.
Tutazijua baada ya matokeo, ila ogopa sana mechi za mapema.Timu gani niziogope leo kwenye Direct Winn?
Limepoteza mwelekeo kivipi? Kwamba watu wanapost content zisizohusiana na betting!?Hili jukwaa siku hizi limekuwa na mwelekeo usio mzuri ndio maana kuna baadhi ya wakongwe wameamua kujibetia kimya kimya, huwakuti wakiandika chochote humu.
° Kuna Proffesor mzee wa 10 minutes X simkuti humu
° Kuna mwamba alikuwa anaitwa going concern alikuwa anaweka stake za milioni 2 simwoni.
° Kuna yule hodari wa basketi pia simwoni
° Kuna jamaa yeye kaamua kukimbilia jukwaa la mapenzi kabisa
° Kuna yule alikuwa anatupia live, ikiboom anaandika "aisee" yeye stake zake ilikuwa 50k kupanda.
[emoji16] mkuu . Trade ya sportyhero Haina code za kutoa mikeka. (Ni cash in /cash out - auto or Manual na dole gumba lako.[emoji23] Humu wenzako tuna share bure acha utapeli wewe. Jana wengine tulimpa man city apate goli mbili single bet na mkeka ukachanika
Nenda facebook utawapata
Vipi kuhusu aviator[emoji16] mkuu . Trade ya sportyhero Haina code za kutoa mikeka. (Ni cash in /cash out - auto or Manual na dole gumba lako.
Codes ni darasa la sign za ku stake boom. Kwa ambaye amecheza anaweza kuelewa Nini Namaanisha .
If 100 /10000 (P balance) ,naweza make to 15k Kwa masaa 6 .( Hii ndio nafanya Mimi).
Wat if principal balance ikawa 150k. Kwa 1000 TU.
Mwenye uwezo wa ku risk .
Kwa masaa sita 150k ni faida .
(Codes za Mpira kwangu zimegoma [emoji23]- lose ni nyingi).
#Kama Kuna ambaye anauwezo wa chase odds. And play for funny huku anaingiza hela .
I can share codes bila shida. Na atanishukuru badae.
(Na sababu ya kuja kuongea inbox si kutapeli watu, hapana aisee. Ila ni sababu wachache ndio wenye uelewa, japo wengi wamecheza na kuona wanapoteza while 70% ku kupata hela upo.)
Nawishi kushare experience na walio wahi kucheza .
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mkuu.Hili jukwaa siku hizi limekuwa na mwelekeo usio mzuri ndio maana kuna baadhi ya wakongwe wameamua kujibetia kimya kimya, huwakuti wakiandika chochote humu.
° Kuna Proffesor mzee wa 10 minutes X simkuti humu
° Kuna mwamba alikuwa anaitwa going concern alikuwa anaweka stake za milioni 2 simwoni.
° Kuna yule hodari wa basketi pia simwoni
° Kuna jamaa yeye kaamua kukimbilia jukwaa la mapenzi kabisa
° Kuna yule alikuwa anatupia live, ikiboom anaandika "aisee" yeye stake zake ilikuwa 50k kupanda.
Tuanze na real sociedad kisha leipzig
Acha utapeli dogMkuu.
Naomba tag for me. Hao watu . Nakuomba tafadhali.. Nahitaji kuongea nao , serious aisee.
Ni Risk takers,Ambao they can stake higher . Nahitaji kushare nao jambo.
(Watapata hela wao , Ila namimi wakiniamini nitakua Kama wao).
Kuna mahali , Kuna codes nimezinasa , Codes nimezinasa . Namaanisha kabisa .CODE NIMEZINASA.
Sijapewa Imani TU.
Nisaidie mkuu.
#NI KWELI KUNA JAMAA ALIKUA ANA STAKE ADI 1M, NA ANAPOTEZA .
AISEE HUYU NAOMBA AISEE NATAKA KU SHARE NAE JAMBO.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Naomba tuongee mkuu . Very serious. Nakuomba .Vipi kuhusu aviator
Nimekucheki inboxNaomba tuongee mkuu . Very serious. Nakuomba .
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Nimejaribu ila naona nikiingiza namba ya muamala inagoma ku clear wananiambia transaction not foundSimple sana kusolve hiyo nenda kwenye transaction history click pending