Kayombo Tips
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 461
- 574
Nazingua kufanyaje mkuuSijui niseme ila dah.unazingua sana basi tu.
Everton ananitisha[emoji19]
Hyo NBA mkuu odd zao ni za kushiba sanahii ni leo asubuhi na code nilitoa humuView attachment 2884668
Kuna yule mwamba wakuitwa SALUM MAZWAZWA Mzee wa kuku akiwin anapost na paja la kuku 🤣🤣Hili jukwaa siku hizi limekuwa na mwelekeo usio mzuri ndio maana kuna baadhi ya wakongwe wameamua kujibetia kimya kimya, huwakuti wakiandika chochote humu.
° Kuna Proffesor mzee wa 10 minutes X simkuti humu
° Kuna mwamba alikuwa anaitwa going concern alikuwa anaweka stake za milioni 2 simwoni.
° Kuna yule hodari wa basketi pia simwoni
° Kuna jamaa yeye kaamua kukimbilia jukwaa la mapenzi kabisa
° Kuna yule alikuwa anatupia live, ikiboom anaandika "aisee" yeye stake zake ilikuwa 50k kupanda.
sportyhero ni casino jamii ya aviator. comment yako ya kwanza nilipoona kutrade nikajua ni forex. kumbe unamaanisha aviator!!.[emoji16] mkuu . Trade ya sportyhero Haina code za kutoa mikeka. (Ni cash in /cash out - auto or Manual na dole gumba lako.
Codes ni darasa la sign za ku stake boom. Kwa ambaye amecheza anaweza kuelewa Nini Namaanisha .
If 100 /10000 (P balance) ,naweza make to 15k Kwa masaa 6 .( Hii ndio nafanya Mimi).
Wat if principal balance ikawa 150k. Kwa 1000 TU.
Mwenye uwezo wa ku risk .
Kwa masaa sita 150k ni faida .
(Codes za Mpira kwangu zimegoma [emoji23]- lose ni nyingi).
#Kama Kuna ambaye anauwezo wa chase odds. And play for funny huku anaingiza hela .
I can share codes bila shida. Na atanishukuru badae.
(Na sababu ya kuja kuongea inbox si kutapeli watu, hapana aisee. Ila ni sababu wachache ndio wenye uelewa, japo wengi wamecheza na kuona wanapoteza while 70% ku kupata hela upo.)
Nawishi kushare experience na walio wahi kucheza .
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Derby County [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Watu mnabet FA cup mkijua kabisa timu znachezesha team B...Everton walichonifanya dah