kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Yani huyu Hela zake hata hazikai Wala huwez fanyia kitu Cha maana yaniππ mwaka wa kumi huu nabet ila faida siion nimengβangβa tu, nikila, laki mbili, tatu, nne, siku zimasonga. Au wenzangu mnajenga kwa hela ya kanji?π€π€
Sawaa mkuu, inbox yangu ipo wazi. If your interested. Karibu tuongee.sportyhero ni casino jamii ya aviator. comment yako ya kwanza nilipoona kutrade nikajua ni forex. kumbe unamaanisha aviator!!.
nilijiungaga na magroup whatsapp ya kutoa free signals za aviator. magroup yenyewe yamefungwa comments watu msicomment. tutorials zikawa nyingi mara pink mara purple mara kitu gani sijui, nikaona ujinga huu tutorials nyingi halafu sioni muelekeo, nikaleft magroup yote.
Pita hivi na kama huna la kushauli kaa kimyamtaacha tu kamali kwa lazima huu mwendo nimeupenda
kafirwe hukomtaacha tu kamali kwa lazima huu mwendo nimeupenda