Magulumelafulu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 495
- 602
Hamna ni sisi kujipa muda na si kuwa "wazandiki" = "Liberals"... Tuwe "Conservatives"= "wahafidhina"... Adui yetu mmoja .. shida humu wengi wamekuwa na ujuaji mwingi ... Aliyeanzissha Uzi Rockcity native sijui hata Yuko wapi ... Nilikutana naye 2013 kibandani pale ofisi za Meridian natoa mtonyo naye anatoa mtonyo ..Sasa walipigwa sana siku hiyo ..ndio nikaulizwa jina la akaunti..natumia jina hilihili... Akashtuka akanifata oya we ndio Mtoto wa Nzi... Nkamwambia ndio ..akacheka ...mbona umejipa jina chafu sana wakati unaonekana mstaarabu Mimi Rockcity native .. tukala kitimoto choma ...ikaisha ... Na simuoni kabisa na hapatikani hata humu hachangiii na ndiye aliyeanzissha Uzi.... Sijui kama "nilidanganywa "...lakini Kwa muda ambao amekaa kimya ..kama yupo hai tumshukuru ..kama katangulia mbele za haki TUMUOMBEE .. AMINA.
Yupo kaka, kuna siku za karibuni kachangia kwenye huu uzi.Hamna ni sisi kujipa muda na si kuwa "wazandiki" = "Liberals"... Tuwe "Conservatives"= "wahafidhina"... Adui yetu mmoja .. shida humu wengi wamekuwa na ujuaji mwingi ... Aliyeanzissha Uzi Rockcity native sijui hata Yuko wapi ... Nilikutana naye 2013 kibandani pale ofisi za Meridian natoa mtonyo naye anatoa mtonyo ..Sasa walipigwa sana siku hiyo ..ndio nikaulizwa jina la akaunti..natumia jina hilihili... Akashtuka akanifata oya we ndio Mtoto wa Nzi... Nkamwambia ndio ..akacheka ...mbona umejipa jina chafu sana wakati unaonekana mstaarabu Mimi Rockcity native .. tukala kitimoto choma ...ikaisha ... Na simuoni kabisa na hapatikani hata humu hachangiii na ndiye aliyeanzissha Uzi.... Sijui kama "nilidanganywa "...lakini Kwa muda ambao amekaa kimya ..kama yupo hai tumshukuru ..kama katangulia mbele za haki TUMUOMBEE .. AMINA.
Hakika Mungu ni Mwema....Yupo kaka, kuna siku za karibuni kachangia kwenye huu uzi.
Usiende huko inbox, utapigwa tu/tapeliwa tu. Laminate hii sms yangu, ukitoa huko inbox uje kutupa mrejesho hapa (kama hutajali).Sawaa mkuu, inbox yangu ipo wazi. If your interested. Karibu tuongee.
Hapa Mimi sio mjuaji , Wala siwezi kubeza na kubishana na watu.
Ila sababu najua hapa naweza kupata ma risk taker.
I can share vile Mimi naona , ukiweza kuwa na laki moja mpaka laki na nusu.
Kamwe huwezi Rudi kwenye Mpira huku.
Uwe serious na kazi TU .
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Maneno ya kishirikina haya, ni upepo mbaya. Utapita tu.mtaacha tu kamali kwa lazima huu mwendo nimeupenda
Mchawi huyu, sijui kafuata nini kwenye huu uziPita hivi na kama huna la kushauli kaa kimya
Siyo kweli, tunaweka sana mikeka na siyo gambler wala nini. Tunabeti kistaarabu na kiasi, na haiathiri maisha yetu ya kawaida. Pia miili yetu bado ina 72% maji kama kawaida.
Kwa mara ya kwanza nimelike na kukubalina na post ya kayombo tipsWe ain't that. Some of us don't engage in alcoholism, Cigarette smoking, Caffeine or anything but we gamble responsibly with purpose. I
Ujinga ni WA kawati wa kwenda ....si kurudi.Nami nishakuwa member wa kampuni kadhaa, ila hapa premier bet ndiyo nimefika.
Kuna madalali wanakuja hapa ponda au sifia baadhi ya kampuni huwa nawaangalia tu. Kuna muda wanadanganya wanadhani hatujawahi kuwa wanachama wa kampuni wanazozidalalia.
Karibuni hapa nimewapiga chini betpawa, ni wahuni hao. Formula zao za kitapeli, kumbe kwenye algorithm zao wameweka likely probable results. Ukizichagua nyingi wanakugomea, eti uziondoe baadhi ya mechi. Nikaona nao wahuni tu.
Hutokea mara chacheDaaah Leo, Nimechagua Team zinazoongoza Ligi na Ndio zimeniangusha
[emoji28][emoji28]Siyo kweli, tunaweka sana mikeka na siyo gambler wala nini. Tunabeti kistaarabu na kiasi, na haiathiri maisha yetu ya kawaida. Pia miili yetu bado ina 72% maji kama kawaida.
Usichukulie poa kazi ya uafisa ubashiri
Hawa wahuni na mafia sana. Ligi yao imejifia kabisa, mafia gangs wa betting wamejiimalisha series A.mambo ya ligi za Italia hayo. mchezaji wa Juventus baada ya goli lake kukataliwa, akaamua asuse kabisa, kapata red, halafu dakika za mwanzo kabisa.
Uafisa ubashiri ni kazi ngumu kweli, ila hatuachi mpaka adui yetu pia awe mufilisiKubashiri Ni kazi aisee...
Kwa jinsi mpira wa sasa ulivyo ukijaa kwenye mfumo wa mwenzako either udroo au upigwe,,,,, kwani tulitarajia baselona angezingua?!Hawa wahuni na mafia sana. Ligi yao imejifia kabisa, mafia gangs wa betting wamejiimalisha series A.
Isiiweke Series A au mechi yoyote ya ligi ya Italy kwenye mkeka wowote wa kimkakati
Kiujumla series A imeharibika kabisa, ni haitabiriki kabisa (except Napoli msimu uliopita). Ndiyo maana uefa na ueropa finals hazifiki kabisa. AC Milan na InterMilan walimalizia ngwe.Kwa jinsi mpira wa sasa ulivyo ukijaa kwenye mfumo wa mwenzako either udroo au upigwe,,,,, kwani tulitarajia baselona angezingua?!
Juve ni wapambanaji sema kama uliangalia ile mechi empoli walikamia sana