Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mwamba Yuko anatu zoom tu,,,,,
Nadhani mwezi uliopita kama c huu alipita kutusalimu humu
Hamna ni sisi kujipa muda na si kuwa "wazandiki" = "Liberals"... Tuwe "Conservatives"= "wahafidhina"... Adui yetu mmoja .. shida humu wengi wamekuwa na ujuaji mwingi ... Aliyeanzissha Uzi Rockcity native sijui hata Yuko wapi ... Nilikutana naye 2013 kibandani pale ofisi za Meridian natoa mtonyo naye anatoa mtonyo ..Sasa walipigwa sana siku hiyo ..ndio nikaulizwa jina la akaunti..natumia jina hilihili... Akashtuka akanifata oya we ndio Mtoto wa Nzi... Nkamwambia ndio ..akacheka ...mbona umejipa jina chafu sana wakati unaonekana mstaarabu Mimi Rockcity native .. tukala kitimoto choma ...ikaisha ... Na simuoni kabisa na hapatikani hata humu hachangiii na ndiye aliyeanzissha Uzi.... Sijui kama "nilidanganywa "...lakini Kwa muda ambao amekaa kimya ..kama yupo hai tumshukuru ..kama katangulia mbele za haki TUMUOMBEE .. AMINA.
 
Yupo kaka, kuna siku za karibuni kachangia kwenye huu uzi.
 
Sawaa mkuu, inbox yangu ipo wazi. If your interested. Karibu tuongee.
Hapa Mimi sio mjuaji , Wala siwezi kubeza na kubishana na watu.
Ila sababu najua hapa naweza kupata ma risk taker.
I can share vile Mimi naona , ukiweza kuwa na laki moja mpaka laki na nusu.
Kamwe huwezi Rudi kwenye Mpira huku.

Uwe serious na kazi TU .

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Usiende huko inbox, utapigwa tu/tapeliwa tu. Laminate hii sms yangu, ukitoa huko inbox uje kutupa mrejesho hapa (kama hutajali).
 
Nami nishakuwa member wa kampuni kadhaa, ila hapa premier bet ndiyo nimefika.
Kuna madalali wanakuja hapa ponda au sifia baadhi ya kampuni huwa nawaangalia tu. Kuna muda wanadanganya wanadhani hatujawahi kuwa wanachama wa kampuni wanazozidalalia.
Karibuni hapa nimewapiga chini betpawa, ni wahuni hao. Formula zao za kitapeli, kumbe kwenye algorithm zao wameweka likely probable results. Ukizichagua nyingi wanakugomea, eti uziondoe baadhi ya mechi. Nikaona nao wahuni tu.
Ujinga ni WA kawati wa kwenda ....si kurudi.
 
mambo ya ligi za Italia hayo. mchezaji wa Juventus baada ya goli lake kukataliwa, akaamua asuse kabisa, kapata red, halafu dakika za mwanzo kabisa.
Hawa wahuni na mafia sana. Ligi yao imejifia kabisa, mafia gangs wa betting wamejiimalisha series A.
Isiiweke Series A au mechi yoyote ya ligi ya Italy kwenye mkeka wowote wa kimkakati
 
Kocha kamili wanacheza chini ya presha kubwa sana. Mechi tatu zijazo huenda Barcelona wakashinda mechi zao, ila baada ya hapo kuwa makini sana. Barcelona akicheza na timu yeyote yenye jina kubwa bora uipe over 2.5 goals
 
Attachments

  • IMG_20240128_115714_240.jpg
    IMG_20240128_115714_240.jpg
    119.9 KB · Views: 9
Hawa wahuni na mafia sana. Ligi yao imejifia kabisa, mafia gangs wa betting wamejiimalisha series A.
Isiiweke Series A au mechi yoyote ya ligi ya Italy kwenye mkeka wowote wa kimkakati
Kwa jinsi mpira wa sasa ulivyo ukijaa kwenye mfumo wa mwenzako either udroo au upigwe,,,,, kwani tulitarajia baselona angezingua?!

Juve ni wapambanaji sema kama uliangalia ile mechi empoli walikamia sana
 
Kiujumla series A imeharibika kabisa, ni haitabiriki kabisa (except Napoli msimu uliopita). Ndiyo maana uefa na ueropa finals hazifiki kabisa. AC Milan na InterMilan walimalizia ngwe.
 
Back
Top Bottom