Magulumelafulu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 495
- 602
kweli uko kikazi, umesisitiza zaidi kwenye "Uwe serious na kazi".Sawaa mkuu, inbox yangu ipo wazi. If your interested. Karibu tuongee.
Hapa Mimi sio mjuaji , Wala siwezi kubeza na kubishana na watu.
Ila sababu najua hapa naweza kupata ma risk taker.
I can share vile Mimi naona , ukiweza kuwa na laki moja mpaka laki na nusu.
Kamwe huwezi Rudi kwenye Mpira huku.
Uwe serious na kazi TU .
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Hahaa mhenga mwenzangu nabadili tuu ID ila lazima nitembelee hili jukwaa siku zote nlishindwa kurudisha ID ya kitambo ila jamaa allifanya vyema kutukusanya hapa aisee SUNOLA enzi hizoHakika Mungu ni Mwema....
ukienda uholanzi napo Zote XMatokeo ya leo mpaka sasa ya France League 1 yanashangaza sana.
Mechi 4 zote X
Bhasasile go muyemba. Magulu ga nyabhulemo.Lille na Montpellier wachawa hatimaye wameenda na mikeka
Acha ni hatariBhasasile go muyemba. Magulu ga nyabhulemo.
Ni hatari mkuu
Nilimwomba ashinde first half alikuwa na odds 1.79 sina hamu.Kwa hiyo jamaa wa dotmond kaona tutafidi Bora ajifunge!!!
Hii kazi hii
mtanyooka tu shwaini nyiePita hivi na kama huna la kushauli kaa kimya
Mkuu,bado unabetia hiyo timu?Kama utani vile
Man U kasepa na 250k
Nilimpa win to nil first half [emoji24]
Bado hajamjua Erick ten aka Mzee wa kunyoosha,,,,Mkuu,bado unabetia hiyo timu?
mtaliwa sana mpka vyupiii shwaini nyie