Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Humu wote tulishajiunga kampuni zote mnazozijua Bila hata hayo mapromocode yenu

Hizo promo code mkatafute raia mtaani!.... Sio Jf mnahangaika Bure!
 
Humu wote tulishajiunga kampuni zote mnazozijua Bila hata hayo mapromocode yenu

Hizo promo code mkatafute raia mtaani!.... Sio Jf mnahangaika Bure!
Haya matangazo yao ya betting yanaboa sana. Hawajui kuwa hadi mtu afike hapa tayari amekuwa mjanja.
Yaani kila page unakuta matangazo mawili ya makampuni ya kubeti na mapromo code.
 
Wenye pesa mingi like me angalau kima cha chini tutie m3 ili ujipatie m18 kahela ka supu kesho ARSENAL MPE WIN MALI VS BUKINAFASO MPE MALI WIN AU DABO CHANS 1× LUTON VS BRIGTON MPE BRTN DABO CHANZE 2× AU GG FULHAM VS EVETON WAPE NO GG shwaaa uhakika wale wa mia mia ngojen nawaletea odd laki3 ili ukitia hiko kihela angalau upate m3 ili kesho uje unishukuru
 
Betting ingekuwa kma ulivyopanga hapo duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…