Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Lok Zagreb ameanza vizuri hii raundi ya pili huko crotia na leo yupo nyumbani hivyo win or draw kwake ni safe kabisa kuliko madoido mengine ya option kwake! National League ya Israel haina ujanja ujanja mwenye timu nzuri ndo anashinda na mwenye mbovu ni kipigo tu hivyo maccabi jaffa win ni safe
 
Mechi kama hii inayo endelea ndiyo zinatuchania mikeka kama hapo away kesha pata goli je ningempa home win na alikuwa na odds ndogo sana ila kesha chapwa goli
Screenshot_20240202-130701_SportyBet.jpg
 
Psg anacheza mpira mzuri na timu yake nzuri ila utoto mwingi na leo anakutana yupo away na anacheza na mpinzani mzuri hivyo over 1.5 ni nzuri kuliko kumpa win maana akawii kuchomolewa goli huyu na katim anakocheza nako hakawezi ondoka bila kuchungulia goli lake leo maana kama morali ya kutosha na pia japo nyumbani! Dortmund kaanza raundi ya pili vizuri na kurudi kwa Sancho kumeleta hamasa kwenye timu ila Bundersliga timu ikiwa home haina shughuli ndogo hivyo GG ni safe zaidi kuliko kumpa Dortmund win maana anaweza kudroo leo
 
Hakuna namna Ath Bilbao na fiorentina watapoteza mechi leo kulingana na trend inavyoenda na kwa sababu Bilbao yupo home leo ni win ya moja kwa moja inafaa na fiorentina sababu yupo away win or draw inatosha kabisa hii mechi kupoteza leo ina asilimia chache sana kwake
 
UTABIRI WA MPIRA LEO TAREHE 02/02/2024

Leo jua lipo ktk nyota ya Ndoo na MWEZI ukihamia ktk nyota ya Ng'e

AFCON:

(1) Nigeria vs Angola

Bila shaka yoyote na bila nguvu kubwa Nigeria atashinda mchezo huu

(2) Guinea vs DR Congo

Mchezo huu pia tunampa Guinea ushindi, ingawa kunaweza kuwa na sare na baadae mikwaju ya Penalty ambayo hata hivyo Guinea atashinda

KWA hapa Tanzania;

KAGERA SUGAR vs YANGA

Hali inajionyesha kuwa mchezo kuwa mgumu na tunaona sare au Yanga kupoteza mchezo..

by magical power
 
kwa hiyo niweke hela? unajua ela ya tofar ilivyo ngumu nasema ole wake keka liote mbawa
 
UTABIRI WA MPIRA LEO TAREHE 02/02/2024

Leo jua lipo ktk nyota ya Ndoo na MWEZI ukihamia ktk nyota ya Ng'e

AFCON:

(1) Nigeria vs Angola

Bila shaka yoyote na bila nguvu kubwa Nigeria atashinda mchezo huu

(2) Guinea vs DR Congo

Mchezo huu pia tunampa Guinea ushindi, ingawa kunaweza kuwa na sare na baadae mikwaju ya Penalty ambayo hata hivyo Guinea atashinda

KWA hapa Tanzania;

KAGERA SUGAR vs YANGA

Hali inajionyesha kuwa mchezo kuwa mgumu na tunaona sare au Yanga kupoteza mchezo..

by magical power
Duh wewe mjamaa yanga atakandwa au draw ? Nitaweka hela ila nikipigwa naomba uikimbie ID yako ndugu yangu .

Lakini haukunijibu kuwa wa tarehe 29/2 ni nyota gani boss?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu humu asilimia kubwa ni watu wenye akili timamu hayo mapromocode yanatosha sasa mzee kizuri kinajiuza bila mapambo mengi humu watu tushabetia makampuni yote makubwa M bet,meridian,primier,gal sport,Betway,betpawa,1xbet,sportpesa,thronebet n.k hakuna kitu utaeleza watu wasikijue kam kampuni yako ni bora watu watajiunga tu SIMPLE
Mkuu, ukiona umepewa mkeka alafu unapromocode, fahamu kuwa wewe unayepewa mkeka ndo fursa, mkeka ukichana anakula 50% ya ulichostake...so punters wengi wanachomesha mkeka lazima kuwe na timu 2 au 1 itachana.....
 
UTABIRI WA MPIRA LEO TAREHE 02/02/2024

Leo jua lipo ktk nyota ya Ndoo na MWEZI ukihamia ktk nyota ya Ng'e

AFCON:

(1) Nigeria vs Angola

Bila shaka yoyote na bila nguvu kubwa Nigeria atashinda mchezo huu

(2) Guinea vs DR Congo

Mchezo huu pia tunampa Guinea ushindi, ingawa kunaweza kuwa na sare na baadae mikwaju ya Penalty ambayo hata hivyo Guinea atashinda

KWA hapa Tanzania;

KAGERA SUGAR vs YANGA

Hali inajionyesha kuwa mchezo kuwa mgumu na tunaona sare au Yanga kupoteza mchezo..

by magical power
Nigeria 0:1 Angola FT.

Mimi sio mchawi
 
Screenshot_20240202-151455_1.jpg

Wale Wanaotaka Kujiunga Na Mimi Kwenye Roll Over 1XBET Twenzetu.

Roll Over Day 1 On 1xbet

Code Ya Mkeka: 96BYZ

Jisajili na Stake 1xbet Hapa👇👇👇

Jisajili na Stake 1xbet Hapa

Promo Code Weka Neno: TIPS2424

Promo Code Weka Neno 👉👉 TIPS2424 wakati wa kujisajili ili upate bonus ya mpaka TZS 250000 ukiweka pesa kwa mara ya kwanza.
 
guys weka 10k tu kwenye hii long weekend tip aisee, ikimiss usiudhunike sana, but im 95% sure tunakula, games 13 tu, odds 61.

check picha siez andika right now, angalia vizuri mpenzi, weka hata zaidi stake, be blessed, tuamke na maokoto monday[emoji4]
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240202_160614.jpg
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240202_160551.jpg
 
Back
Top Bottom