Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa PSG nimewapa over 2.5 goals. Sitaki jau kabisa.Psg anacheza mpira mzuri na timu yake nzuri ila utoto mwingi na leo anakutana yupo away na anacheza na mpinzani mzuri hivyo over 1.5 ni nzuri kuliko kumpa win maana akawii kuchomolewa goli huyu na katim anakocheza nako hakawezi ondoka bila kuchungulia goli lake leo maana kama morali ya kutosha na pia japo nyumbani! Dortmund kaanza raundi ya pili vizuri na kurudi kwa Sancho kumeleta hamasa kwenye timu ila Bundersliga timu ikiwa home haina shughuli ndogo hivyo GG ni safe zaidi kuliko kumpa Dortmund win maana anaweza kudroo leo
Nikushauri uachane na kumuweka fiorentina kwenye mkeka. Hao walishakuwa wajinga sana.Hakuna namna Ath Bilbao na fiorentina watapoteza mechi leo kulingana na trend inavyoenda na kwa sababu Bilbao yupo home leo ni win ya moja kwa moja inafaa na fiorentina sababu yupo away win or draw inatosha kabisa hii mechi kupoteza leo ina asilimia chache sana kwake
Mkeka upo poa sana. Ila hizo timu za italy ungeziondoa. Kule wajinga sana.guys weka 10k tu kwenye hii long weekend tip aisee, ikimiss usiudhunike sana, but im 95% sure tunakula, games 13 tu, odds 61.
check picha siez andika right now, angalia vizuri mpenzi, weka hata zaidi stake, be blessed, tuamke na maokoto monday[emoji4]View attachment 2891848View attachment 2891849
Huu mkeka ni chuplichupli kushinda
Unataka stake mzigo mkubwa?Naombeni Odds 4 za Uhakika
WekaNaombeni Odds 4 za Uhakika
Weka
-FT over 2.5 goals mechi za kuanzia leo ijumaa hadi jumapili kwa Bayern Munich, Borussia Dortmund, Arsenal, Barcelona na Real Madrid.
-Pia mechi ya Girona ipe dabo chance ya Girona win or draw.
Hapa naona odds zitavuka 5. Kwangu ndiyo matokeo ya uhakika weekend hii.
Alitabiriwa na mdau hapo juuYangaaaaaaa
Jimix ulieee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikiona PSG karoho kana Fanya paah
Nipo, sema kuna muda huu uzi matangazo ya wakala wa kanji yanazidi. Uzi unakosa maana.Ndio Mkuu.
Ulipotea
Kila la heri afisaShukrani Boss