Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee huu uzi unakaribia haribika kwa kweli.
Psg anacheza mpira mzuri na timu yake nzuri ila utoto mwingi na leo anakutana yupo away na anacheza na mpinzani mzuri hivyo over 1.5 ni nzuri kuliko kumpa win maana akawii kuchomolewa goli huyu na katim anakocheza nako hakawezi ondoka bila kuchungulia goli lake leo maana kama morali ya kutosha na pia japo nyumbani! Dortmund kaanza raundi ya pili vizuri na kurudi kwa Sancho kumeleta hamasa kwenye timu ila Bundersliga timu ikiwa home haina shughuli ndogo hivyo GG ni safe zaidi kuliko kumpa Dortmund win maana anaweza kudroo leo
Hawa PSG nimewapa over 2.5 goals. Sitaki jau kabisa.
 
Hakuna namna Ath Bilbao na fiorentina watapoteza mechi leo kulingana na trend inavyoenda na kwa sababu Bilbao yupo home leo ni win ya moja kwa moja inafaa na fiorentina sababu yupo away win or draw inatosha kabisa hii mechi kupoteza leo ina asilimia chache sana kwake
Nikushauri uachane na kumuweka fiorentina kwenye mkeka. Hao walishakuwa wajinga sana.
 
guys weka 10k tu kwenye hii long weekend tip aisee, ikimiss usiudhunike sana, but im 95% sure tunakula, games 13 tu, odds 61.

check picha siez andika right now, angalia vizuri mpenzi, weka hata zaidi stake, be blessed, tuamke na maokoto monday[emoji4]View attachment 2891848View attachment 2891849
Mkeka upo poa sana. Ila hizo timu za italy ungeziondoa. Kule wajinga sana.
 
Naombeni Odds 4 za Uhakika
Weka
-FT over 2.5 goals mechi za kuanzia leo ijumaa hadi jumapili kwa Bayern Munich, Borussia Dortmund, Arsenal, Barcelona na Real Madrid.
-Pia mechi ya Girona ipe dabo chance ya Girona win or draw.

Hapa naona odds zitavuka 5. Kwangu ndiyo matokeo ya uhakika weekend hii.
 
Pesa iyo
 

Attachments

  • Screenshot_20240202-174041.jpg
    Screenshot_20240202-174041.jpg
    47.8 KB · Views: 3
Yangaaaaaaa
Alitabiriwa na mdau hapo juu

Sema leo Kagera wamecheza na saikoloji ya wachezaji wa Yanga

Na Yanga wakaingia kwenye mfumo wa Kagera,,,, kujiamini sana wakiwa slow kumbe mda unayoyoma!!!

Naamini Yanga wangechangamka kidogo tu Kagera alikuwa anakufa

Ila voodoo ipo,,, kitendo cha Kagera kuchelewa Kuingia uwanjani ilikuwa na maana kubwa sana kwa wasoma nyota,,,, ndo mpira wetu Africa na Arabia
 
Pia wikendi kuna pesa ya bure kwenye dabo chance ya kuwin au kudraw kwa timu za Girona ya spain na Totenham ya EPL.
Hizo mechi mbili tu ukizipa hiyo dabo chance odds inafika 1.60.

Hizi dabo chansi mbili weka hata mahali, utapata 60% profit, maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom